Japani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.2+) (Boti: Inarbadilisha dz:ཇ་པཱན hadi dz:ཇཱ་པཱན།
d Minor fix using AWB
Mstari 38:
|sovereignty_type = Tarehe za Kihistoria
|established_events = [[Mwanzo wa Taifa]]
[[Katiba ya Meiji]]
[[Katiba ya Japani]]
[[Mkataba wa San Francisco]]
|established_dates =
[[11 Februari]], 660 BCE2
[[29 Novemba]] [[1890]]
[[3 Mei]] [[1947]]
[[28 Aprili]] [[1952]]
|HDI_year = 2003
|HDI = 0.943
Mstari 63:
'''Japan''' ni nchi ya visiwa katika Pasifiki mbele ya mwambao wa mashariki ya [[Asia]]. Wajapani wenyewe hutumia jina la "Nihon" au "Nippon" lenye maana ya "Mwanzo wa jua". Hivyo Japani huitwa pia "Nchi ya Macheo".

Nchi ina eneo la 377.000 km² na wakazi milioni 128. Japani ni kati ya nchi za dunia zilizoendelea sana kiuchumi, kiteknolojia na kisayansi. Ilikuwa nchi ya kwanza nje ya [[Ulaya]] iliyofaulu kujenga jamii ya viwanda.

== Jiografia ==
Hujambo, Japani ni [[funguvisiwa]] yenye visiwa zaidi ya 3.000 mbele ya pwani la [[Uchina]], [[Korea]] na [[Urusi]] ([[Siberia]]).

Visiwa vikubwa na muhimu zaidi ni vinne tu ndivyo [[Honshu]], [[Hokkaido]], [[Shikoku]] na [[Kyushu]]. Safu ya milima inapita visiwa vyote vikubwa na kusababisha msongamano makubwa ya wakazi katika miji kutokana na uhaba wa ardhi ya kukalia. Hali halisi Japani yote ni safu ya milima tu inayopanda juu kutoka msingi wa bahari na vilele vya milima yake huonekana juu ya uso wa bahari kama visiwa vikubwa au vidogo.

Kijiolojia eneo hili liko kwenye mstari ambako [[bamba la gandunia|mabamba ya gandunia]] ya [[bamba la Ulaya-Asia|Ulaya-Asia]], [[bamba la Pasifiki|Pasifiki]] na [[bamba la Ufilipino|Ufilipino]] hukutana. Hii ni sababu ya kuwepo kwa [[volkeno]] 240 katika Japani na takriban 40 kati ya hizo ni hai pia kutokea kwa [[tetemeko la ardhi|matetemeko ya ardhi]] ya mara kwa mara. Hivyo Japani ni sehemu ya [[pete la moto la Pasifiki]] linalozunguka bamba la Pasifiki.

Japani inapatwa kila mwaka na [[dhoruba]] kali aina ya [[taifuni]]. Hata [[tsunami]] (ni neno la [[Kijapani]]) ni kawaida. Nchi inajikinga na mitambo mengi ya kutoa taarifa ya tsunami kuanza pia mitambo ya kufunga milango ya mabandari.
[[Picha:Tazawako.jpg|thumb|left|250px|Nyumba ya kidesturi]]

== Miji ==
Wajapani wengi hukalia sehemu ndogo ya 10% za nchi. Kuna miji kumi yenye wakazi zaidi ya milioni moja. Miji mikubwa ni [[Tokyo]], [[Yokohama]], [[Nagoya]], [[Osaka]], [[Kyoto]], [[Kobe]], [[Hiroshima]], [[Fukuoka]], [[Kitakyushu]], [[Sendai]] na [[Sapporo]].
Usafiri ndani ya Japani ni hasa kwa treni, mabasi na ndege. Treni ya [[Shinkansen]] visiwani Honshu na Kyushu ni kati ya treni zenye mkasi mkubwa duniani.

Mstari 160:

Kwa sasa manispaa ya Japani inaundwa upya kwa kuunganisha mikoa, miji na baadhi ya vijiji. Mabadiliko haya yatapunguza idadi ya miji nchini Japani.<ref>{{cite web |last=Mabuchi |first=Masaru |url=http://siteresources.worldbank.org/WBI/Resources/wbi37175.pdf |title=''Municipal Amalgamation in Japan'' (PDF) |publisher=World Bank |month=MayMei | year=2001 | accessdate=2006-12-28|format=PDF}}</ref>

== Historia ==