Tofauti kati ya marekesbisho "John F. Kennedy"

d
Minor fix using AWB
d (r2.7.2) (Roboti: Imeongeza mzn:جان اف. کندی)
d (Minor fix using AWB)
[[Picha:John F. Kennedy, White House color photo portrait.jpg|thumb|right|John F. Kennedy]]
'''John Fitzgerald Kennedy''' ([[29 Mei]], [[1917]] – [[22 Novemba]], [[1963]]) alikuwa Raisi wa [[Marekani]]. Alikuwa mtoto wa pili katika familia ya watoto 9. Baba yake alikuwa mfanyabiashara maarufu. Ukoo wa Kennedy una asili ya [[Ueire|Kiirish]]. [[Vita Kuu ya Pili]] ilipoanza alijiunga na [[jeshi la wanamaji]]. 1943 alijeruhiwa katika shambulio lililofanywa na ndege za kivita za [[Japani]]. Mwaka 1947 alianza kujiingiza katika siasa na 1960 alichaguliwa kuwa Rais wa Marekani. Aliuawa kwa kupigwa risasi tarehe 22 Novemba, 1963. Atakumbukwa pia kwa kutetea haki za watu wote bila kujali rangi.
 
Alisema "Wamarekani wasiulize Marekani imewatendea nini bali wajiulize kwanza wao wenyewe wameitendea nini nchi yao".
9,527

edits