Ingeborg Schwenzer : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Ondoa: fr:Ingeborg Schwenzer (deleted)
d Minor fix using AWB
Mstari 1:
'''Ingeborg Schwenzer''' (aliyezaliwa tarehe 25 Oktoba, 1951 jijini Stuttgart) ni msomi washeria wa kijerumani na profesa wa sheria za ulinganifu katika Chuo Kikuu cha Basel, Switzerland.
 
== Maelezo Binafsi (Curriculum Vitae) ==
Ingeborg Schwenzer alisomea sheria katika Chuo Kikuu cha Freiburg i. Br. na Chuo Kikuu cha Université de Genève kati ya mwaka 1970 na mwaka 1975. Kuanzia mwaka 1973 hadi 1975 alifanya kazi kama mwanafunzi msaidizi katika Taasisi ya sheria za utawala katika Chuo Kikuu cha Freiburg i. Br.
 
Mwaka 1975 , Schwenzer alifaulu mtihani wa Erste juristische Staatsprüfung (First State Exam in Law) katika Chuo Kikuu cha Freiburg na kushika nafasi ya tatu (3) kati ya watahiniwa 209.
Ingeborg Schwenzer alisomea sheria katika Chuo Kikuu cha Freiburg i. Br. na Chuo Kikuu cha Université de Genève kati ya mwaka 1970 na mwaka 1975. Kuanzia mwaka 1973 hadi 1975 alifanya kazi kama mwanafunzi msaidizi katika Taasisi ya sheria za utawala katika Chuo Kikuu cha Freiburg i. Br.
 
Mwaka 1975 , Schwenzer alifaulu mtihani wa Erste juristische Staatsprüfung (First State Exam in Law) katika Chuo Kikuu cha Freiburg na kushika nafasi ya tatu (3) kati ya watahiniwa 209.
 
Kuanzia mwaka 1975 hadi 1976, Schwenzer alisoma katika Chuo Kikuu cha Carifornia, Berkeley na kutunukiwa shahada ya uzamili katika sheria yenye heshima.
Line 17 ⟶ 16:
Mwaka 1986, Schwenzer aliteuliwa kuwa mhadhiri kwenye Chuo Kikuu cha Philipps-Universität Marburg.
 
Mwaka 1987, andiko la Schwenzer lenye kichwa ''Vom Status zur Realbeziehung – Familienrecht im Wandel'' (From status to actual relation – family law in the flux) lilikubaliwa na Chuo Kikuu cha Freiburg na kutunukiwa ''venia legend'' kwenye sheria za masuala binafsi, sheria za biashara, sheria za kimataifa na sheria za ulinganifu. Baadaye alikuwa profesa mbadala wa kwenye sheria za masuala binafsi, sheria za biashara, sheria za kimataifa, sheria za ulinganifu na sheria za kazi katika Chuo Kikuu cha Konstanz. Baadaye aliombwa na Chuo Kikuu cha Köln kuwa profesa wa sheria za masula binafsi na hapohapo akaombwa na Chuo Kikuu cha Mainz kuwa profesa wa sheria za masuala binafsi, sheria za kimataifa na sheria za ulinganifu. Alikubaliana na maombi ya Chuo Kikuu cha Mainz na kuteuliwa kuwa profesa mwezi Disemba,Desemba 1987.
 
Mwaka 1989, Schwenzer alipewa cheo cha uprofesa kwenye kiti cha sheria za masuala binafsi katika chuo Kikuu cha Basel. Baadaye alipewa nafasi na Chuo Kikuu cha Kiev kuwa profesa wa sheria za masuala binafsi za Ujerumani na Jumuiya ya Ulaya na pia aliombwa Chuo Kikuu cha Humboidt,Berlin (1995) kuwa profesa wa sheria za masuala binafsi. Maombi yote aliyakataa.
Line 23 ⟶ 22:
Tangu mwaka 2010, Schwenzer anafanya kazi ya ziada kama profesa kwenye Chuo Kikuu cha City Hong Kong.
 
Kwa miaka mingi, Schwenzer alikuwa profesa mwalikwa kwenye taasisi mbalimbali: 1994 – 2002 katika Europainstitut, Basel, Switzerland; mwaka 2008 katika Université de Paris Val-de-Marne, France; mwaka 2009 katika Chuo Kikuu cha Victoria Wellington, New Zealand; mwaka
 
2010 katika Chuo Kikuu cha Loyola Chicago, USA; mwaka 2011 katika Chuo Kikuu cha Buea, Cameroon; na pia mwaka 2011 katika Chuo Kikuu cha İstanbul Bilgi, Turkey.
Line 31 ⟶ 30:
 
=== Sheria za mauzo ulimwenguni ===
Mradi wa sheria za mauzo ulimwenguni unahusu ulinganifu wa sheria za mauzo na sheria za mikataba.
 
==== Sheria za mauzo ulimwenguni na Sheria za mikataba ====
Kiini cha mradi huu ni kijitabu kinachoitwa Global Sales and Contract Law (GSCL)<ref>http://lccn.loc.gov/2011939853</ref>, ambacho Schwenzer aliandika kwa kushirikiana na Pascal Hachem na Christopher Kee. Kijitabu hiki kinalinganisha sheria zinazosimamia mauzo na mikataba katika zaidi ya nchi 60. Waandishi wa kitabu hiki walitumia maandiko ya shahada za uzamivu za Mohamed Hafez (Uarabuni na Mashariki ya Kati), Natia Lapiashvili (Ulaya Mashariki na Asia ya Kati), Edgardo Muñoz (Amerika ya Kilatini), Jean-Alain Penda Matipe (Kusini ya Jangwa la Sahara), na Sophia Juan Yang (Asia ya Kusini Mashariki).Kila andiko lilihusu ulinganifu wa mfumo wa sheria wa aina moja ya na zilisimamiwa na Schwenzer.
 
==== Maoni kwenye jarida la CISG ====
Line 46 ⟶ 45:
 
=== Model Family Code ===
Kwenye mwaka 2006, Schwenzer aliaandaa rasimu ya kuunganisha sheria za familia, inayoitwa the Model Family Code1, kwa kushirikiana na Mariel Dimsey. Ulinganifu wa kina kwenye sheria za familia za Ulaya, Amerika na Oceania ndio ulioweka msingi wa kuandaa Model Family Code . Faida ya Model Family Code na sheria za kifamilia za nchi zingine ni kwamba inajumuisha mambo muhimu katika sheria za kifamilia. Aidha, Model Family Code inaruhusu kuzingatia masuala ya utamaduni katika sheria za kifamilia.
 
== Machapisho muhimu na Uhariri ==
Kwa mujibu wa orodha ya machapisho ya Schwenzer iliyotolewa na Chuo Kikuu cha Basel (Oktoba, 2011),2 Schwenzer ametoa machapisho binafsi 14, michango kwenye kazi 48, maoni kwenye majarida 73, michango kwenye makala 21, makala 1 ya kwenye gazeti, uchambuzi wa kesi 17, mapitio ya vitabu 28 na machapisho mengine 5. Aidha, amefanya uhariri kwenye machapisho 19 ambapo miongo mwake ni:
* with Pascal Hachem and Christopher Kee: Global Sales and Contract Law, Oxford: Oxford University Press 2011 (expected), ISBN 978-0-19-957298-4
* Allgemeine Einleitung, Artt. 125 - 132 ZGB, in: Schwenzer (editor), Familienrechtskommentar Scheidung, 2. Aufl., Bern 2011, ISBN 978-3-7272-2882-7
* editor, Familienrechtskommentar Scheidung (2 volumes), 2nd edition, Bern: Stämpfli Verlag AG 2011, ISBN 978-3-7272-2882-7
* editor, with Edgardo Muñoz, Schlechtriem & Schwenzer: Comentario sobre la convencion de las Naciones Unidas sobre los contratos de compraventa internacional de mercaderias, Cizur Menor (Navarra): Editorial Aranzadi SA 2011, ISBN 978-84-9903-761-5
* Familie und Recht, Bern: Stämpfli Verlag AG 2010, ISBN 978-3-7272-8726-8
Line 59 ⟶ 58:
* Arts. 35 - 44, 74 - 77, 79 - 80 CISG, in: Schwenzer (editor), Schlechtriem/Schwenzer, Kommentar zum Einheitlichen UN-Kaufrecht - CISG, 5th edition, München 2008, ISBN 978-3-406-57549-5
* editor, Schlechtriem/Schwenzer, Kommentar zum Einheitlichen UN-Kaufrecht - CISG, 5th edition, München/Basel: Verlag C.H. Beck/Helbing & Lichtenhahn Verlag 2008, ISBN 978-3-406-57549-5
* editor, with Christiana Fountoulakis, International Sales Law, London/New York: Routledge 2007, ISBN 978-0-415-41963-5
* with Mariel Dimsey, Model Family Code, Antwerp/Oxford: Intersentia 2006, ISBN 978-90-5095-590-4
* Restitution of Benefits in Family Relationships, International Encyclopedia of Comparative Law, Vol. X: Restitution - Unjust Enrichment and Negotiorum Gestio, Chapter 12, Tübingen/Dordrecht/Boston/Lancaster: Martinus Nijhoff Publisher 1997, ISBN 978-90-04-16309-6
Line 71 ⟶ 70:
* Tangu mwaka 2004 ni Naibu Mwenyekiti wa Bodi ya Chama cha Wanasheria wa Ujerumani.
* Tangu mwaka 2003 ni mjumbe wa Bodi ya Kituo cha Sayansi ya familia cha Basel,Switzerland
* Tangu mwaka 2003 ni mjumbe wa Bodi ya Ushauri wa CISG
* Tangu mwaka 2001 ni mjumbe wa Timu ya Wataalam wa Tume ya Ulaya kwenye Sheria za kifamilia
* 1999 – 2005 ni mjumbe wa Bodi ya Chama cha wahadhiri wa sheria binafsi (Zivilrechtslehrervereinigung)
Line 79 ⟶ 78:
 
== Marejeo ==
{{Marejeo}}
<references/>
 
{{DEFAULTSORT:Schwenzer, Ingeborg}}