IRC : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.1) (Roboti: Imebadilisha: sk:Internet Relay Chat
d Minor fix using AWB
Mstari 1:
'''Internet Relay Chat (IRC)''' ni aina ya mawasiliano ya papo kwa hapo kupitia mtandao wa [[Intaneti]]. [[Teknolojia]] hii imeundwa hususan kwa ajili ya mawasiliano ya watu wengi kwa wakati mmoja, lakini pia mawasiliano ya mtu mmoja kwa mmoja yanawezekana.
 
Teknolojia hii ilitengenezwa na [[Jarkko Oikarinen]] Agosti, 1998 ili kuchukua nafasi ya teknolojia nyingine kama hii iliyokuwa ikiitwa [[MUT]] huko [[Ufini]].
 
IRC ilipata umaarufu pale ilipotumika kuripoti jaribio la [[kuipindua serikali]] ya [[Urusi]] mwaka 1991. Teknolojia hii ilitumiwa pia kuripoti uvamizi wa [[Kuwait]] na nchi ya [[Iraki]].
 
== Viungo vya nje ==