Sade : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
CGN2010 (majadiliano | michango)
d clean up using AWB
d Minor fix using AWB
Mstari 2:
| Name = Sade
| Img = Sade-Best of Sade.jpg
| Img_capt =
| Background = solo_singer
| Jina la kuzaliwa = Helen Folasade Adu
Mstari 15:
| Tovuti = [http://www.sade.com/ www.sade.com]
}}
'''Helen Folasade Adu''' (amezaliwa [[Januari 16 Januari]], [[1959]]) ni mwanamuziki kutoka nchi ya [[Nigeria]]. Anajulikana zaidi kwa jina la '''Sade'''. Sade ambaye amewahi kupata [[Tuzo ya Grammy]] hasa ni mwimbaji na mtunzi.
 
==Historia==
Sade alizaliwa katika mji wa [[Ibadan]] katika [[Jimbo la Oyo]]. Baba yake, Bisi Adu, alikuwa ni Mnigeria, mhadhiri wa masuala ya uchumi, na mama yake, Anne Hayes, alikuwa ni nesi toka [[Uingereza]]. Baada ya baba na mama yake kuachana, mama yake alirudi Uingereza ambapo aliwachukua Sade na kaka yake, Banji. Akiwa Uingereza, Sade alijenga mapenzi na masuala ya mitindo, dansi, na kuimba. Wakati huo alipenda kuwasikiliza wanamuziki kama [[Marvin Gaye]], [[Curtis Mayfield]], na [[Donny Hathaway]].
 
{{mbegu-mwanamuziki-Afrika}}