Homa ya Q : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.2) (Robot: Modifying lv:Kū drudzis to lv:Q drudzis
d Minor fix using AWB
Mstari 10:
MeshID = D011778 |
}}
'''Homa ya Q''' ni ugonjwa unaosababishwa na ''Coxiella burnetii,'' <ref name="pmid16547017">{{cite journal |author=Beare PA, Samuel JE, Howe D, Virtaneva K, Porcella SF, Heinzen RA |title=Genetic diversity of the Q fever agent, Coxiella burnetii, assessed by microarray-based whole-genome comparisons |journal=J. Bacteriol. |volume=188 |issue=7 |pages=2309–24 |year=2006 |month=AprilAprili |pmid=16547017 |pmc=1428397 |doi=10.1128/JB.188.7.2309-2324.2006 |url=http://jb.asm.org/cgi/pmidlookup?view=long&pmid=16547017}}</ref> bakteria anayeathiri binadamu na wanyama wengine. Mdudu huyu sio wa kawaida ila anaweza kupatikana katika n'gombe, kondoo, mbuzi na mamalia wengine wafugwao, ikiwa ni pamoja na paka na mbwa. Maambukizi hutokana na kuvuta pumzi yenye chembechembe zilizosindikwa katika hewa, na kugusa maziwa, mkojo, kinyesi, majimaji ya uke, au shahawa za wanyama walioambukizwa. Mara chache, ugonjwa huo hutokana na kupe. <ref>{{cite web|title=Q fever|url=http://www.cdc.gov/ncidod/dvrd/qfever/}}</ref> Muda mpaka ugonjwa utokee ni siku 9-40. Unaweza kuchukuliwa kama ugonjwa ambao ni rahisi kupata maambukizi duniani, kwa sababu mwanadamu anaweza kuambukizwa na bakteria mmoja. <ref>[5] ^ [http://www.cdc.gov/ncidod/dvrd/qfever/ Homa ya Q husababishwa na Coxiella burnetii]</ref> Bakteria huyu ni mdudu ambaye huishi katika mazingira maalumu ndani ya mwili.
 
== Historia ==
[[File:Pneumonia x-ray.jpg|right|thumb|Image A:X-ray ya kawaida ya kifua. Image B: Homa ya Q ya mapafu.]]
Mara ya kwanza ulielezwa na Edward Holbrook Derrick <ref>[6] ^ ''Q'' Derrick eh. ''"homa ya Q,aina ya homa mpya : dalili za kikliniki,utambuzi., na uchunguzi wa kimaabara.'' ''Aust J Med. '' ''1937, 11:281-299.'' </ref> katika machinjio ya[[Brisbane]], Queensland, [[Australia|Australia.]] Herufi "Q" husimama kwa ajili ya "query" na ilitumika wakati kimelea kisababishi hakijulikani, na iliteuliwa baada ya mapendekezo kama,"homa ya machinjio" na "homa ya Queensland rickettsial", ili kuepuka ukinzani mbaya aidha katika sekta ya mifugo au jimbo la Queensland. <ref>{{cite book | author = Joseph E. McDade | chapter = Historical Aspects of Q Fever | title = Q Fever, Volume I: The Disease | editor = Thomas J. Marrie | publisher = CRC Press | year = 1990 | isbn = 0849359848 | page = 8}}</ref>
 
Mdudu wa homa ya Q aligundulika mwaka 1937, wakati [[Frank Burnet|Frank Burnet MacFarlane]] na Mavis Freeman walipotenganisha bakteria kutoka kwa mmoja wa wagonjwa wa Derrick. <ref>[9] ^ Burnet FM, Freeman M. majaribio ya uchunguzi juu ya virusi vya homa ya "Q". J Med Aust 1937, 2: 299-305.</ref> Awali alitambuliwa kama aina ya ''Rickettsia.'' HR Cox na Davis walitenganisha mdudu huyu kutoka kwenye kupe kule [[Montana]], Marekani mwaka 1938. <ref> Davis, Ge, na Cox HR. 1938. [http://www.jstor.org/pss/4582746 Chujio lipitishalo vimelea vya maambukizi kutoka kwenye kupe. ][http://www.jstor.org/pss/4582746 I. kutengwa kutoka andersonii Dermacentor, athari kwa wanyama, na upandikizaji.] Afya ya umma Rep. 53:2259-2282.</ref> Ni ugonjwa wa wanyama,ambao unapatikana sanasana kwenye ng'ombe, kondoo na mbuzi. ''Coxiella burnetii'' hachukuliwi kama anahusiana kwa karibu na Rickettsiae bali ni kama sawa na ''Legionella'' na ''Francisella'' na ni bacteria wa kwenye protini.
Mstari 21:
Muda mpaka utokee ni wiki kati ya 2 mpaka 3. Kwa kawaida hutokea kama dalili ya mafua ikiambatana na utokeaji wa haraka wa homa, mwili kutokuwa katika hali ya kawaida, jasho, kuumwa kichwa sana, myalgia (maumivu ya misuri), maumivu ya maungio, kupoteza hamu ya chakula, matatizo ya kupumua , kukohoa kikohozi kikavu, maumivu ya kuvimba kwa plura, baridi, kuchanganyikiwa na dalili zitokanazo na njia ya chakula kama vile kichefuchefu, kutapika na kuhara. Homa huchukua takriban siku 7-14.
 
Kadiri ugonjwa unavyokuwa nao,unaweza kuendelea na kuwa nimonia isiyo na dalili kamili, na kuweza kuleta tatizo litishialo uhai la upumuaji dhiki (ARDS), ambapo dalili hutokea katika siku 4 mpaka 5 za maambukizi.
 
Nadra sana,homa ya Q husababisha (granulomatous) homa ya manjano ambayo yaweza kuwa haina dalili au kuwa na dalili kama malaise, homa, ini kuvimba (hepatomegaly) na maumivu katika quadrant juu,kulia, ya tumbo. Wakati matatizo ya transaminase mara nyingi ndio hutokea, homa ya nyongo ya manjano si ya kawaida. Uvimbe wa mishipa ya damu katika retinali ni nadra katika ugonjwa huu. <ref>{{cite journal|author=Kuhne F, Morlat P, Riss I, ''et al.''|title=Is A29, B12 vasculitis caused by the Q fever agent? (''Coxiella burnetii'')|journal=J Fr Ophtalmol|year=1992|volume=15|pages=315&ndash;21|pmid=1430809|language=French|issue=5}}</ref>
 
Aina ya homa ya Q kimtazamo ni sawa na uvimbe ndani ya moyo (endocarditis) (), <ref name="pmid16757641">{{cite journal |author=Karakousis PC, Trucksis M, Dumler JS |title=Chronic Q fever in the United States |journal=J. Clin. Microbiol. |volume=44 |issue=6 |pages=2283–7 |year=2006 |month=JuneJuni |pmid=16757641 |pmc=1489455 |doi=10.1128/JCM.02365-05 |url=http://jcm.asm.org/cgi/pmidlookup?view=long&pmid=16757641}}</ref> ambao unaweza kutokea miezi au miongo kufuatia maambukizi. Na ni hatari kama hutapapata tiba. Hata hivyo,kwa matibabu sahihi vifo hushuka mpaka karibu 10%.
 
== Uonekanaji na Madhara ==
[[File:Coxiella burnetii 01.JPG|thumb|right|C. burnetii, homa y]]
 
Mdudu anapatikana sehemu zote isipokuwa [[New Zealand|New Zealand.]] <ref name="pmid17147957">{{cite journal |author=Cutler SJ, Bouzid M, Cutler RR |title=Q fever |journal=J. Infect. |volume=54 |issue=4 |pages=313–8 |year=2007 |month=AprilAprili |pmid=17147957 |doi=10.1016/j.jinf.2006.10.048 |url=http://linkinghub.elsevier.com/retrieve/pii/S0163-4453(06)00378-1}}</ref> Ulaya inaonekana kama hepatitis kuliko pneumonia kama ilivyo Marekani. {{Citation needed|date=NovemberNovemba 2008}} Bakteria huyu ana uwezo wa kuhimili mazingira na ni hatari kwani mmoja tu,anaweza kusababisha maambukizi. Njia ya kawaida ya maambukizi ni kuvuta pumzi ya vumbi iliyosindikwa, kugusa maziwa,nyama, sufi na hasa mazao ya uzazi yaliyosindikwa. Kupe anaweza kuhamisha kimelea kwa wanyama wengine. Uhamisho kati ya binadamu ni nadra sana na umeweza kuripotiwa katika kesi chache sana.
 
Baadhi ya tafiti zimeonyesha wanaume wengi zaidi wameathirika kuliko wanawake, <ref name="pmid10589906">{{cite journal |author=Domingo P, Muñoz C, Franquet T, Gurguí M, Sancho F, Vazquez G |title=Acute Q fever in adult patients: report on 63 sporadic cases in an urban area |journal=Clin. Infect. Dis. |volume=29 |issue=4 |pages=874–9 |year=1999 |month=OctoberOktoba |pmid=10589906 |doi=10.1086/520452 |url=http://www.journals.uchicago.edu/doi/abs/10.1086/520452?url_ver=Z39.88-2003&rfr_id=ori:rid:crossref.org&rfr_dat=cr_pub%3dncbi.nlm.nih.gov}}</ref> <ref name="pmid3301708">{{cite journal |author=Dupuis G, Petite J, Péter O, Vouilloz M |title=An important outbreak of human Q fever in a Swiss Alpine valley |journal=Int J Epidemiol |volume=16 |issue=2 |pages=282–7 |year=1987 |month=JuneJuni |pmid=3301708 |doi= 10.1093/ije/16.2.282|url=http://ije.oxfordjournals.org/cgi/pmidlookup?view=long&pmid=3301708}}</ref> na hii inoonekana kutokana na aina mbalimbali za uwiano katika ajira.
 
"Walio katika hatari" ni pamoja , lakini si lazima, na:
* wafanyakazi wa mifugo
* wafanyakazi wa sehemu za kutunzia wanyama kabla ya kuuzwa.
* wakulima
* wakwangua manyoya
* wasafirisha wanyama
* wafanyakazi wa maabara ambao huchukua sampuli za mifugo au kutembelea sehemu za machinjio.
* watu ambao hutenganisha na kuwatunza kangaroo
* wafanyakazi wa (sehemu ya kuhifadhia mifugo) ambao hujifungia.
 
== Utambuzi wa Ugonjwa ==
Utambuzi huzingatia vipimo vya kimiminika cha damu <ref name="pmid10515901">{{cite journal |author=Maurin M, Raoult D |title=Q fever |journal=Clin. Microbiol. Rev. |volume=12 |issue=4 |pages=518–53 |year=1999 |month=OctoberOktoba |pmid=10515901 |pmc=88923 |doi= |url=http://cmr.asm.org/cgi/pmidlookup?view=long&pmid=10515901}}</ref> <ref name="pmid12491231">{{cite journal |author=Scola BL |title=Current laboratory diagnosis of Q fever |journal=Semin Pediatr Infect Dis |volume=13 |issue=4 |pages=257–62 |year=2002 |month=OctoberOktoba |pmid=12491231 |doi=10.1053/spid.2002.127199 |url=http://linkinghub.elsevier.com/retrieve/pii/S104518700250008X}}</ref> (kuangalia mwitikio wa vilindamwili ) kuliko kuangalia kiumbe chenyewe. Serology inaruhusu ugundulikaji wa maambukizi sugu pale viwango vya juu vya chembe ulinzi za mwili hupatikana dhidi ya maambukizi ya bakteria. Ugunduzi wa molekyulari ya DNA ya bakteria hutumika sana. Ukuzaji huwa ni mgumu na mara nyingi haupo katika maabara nyingi za kusomea wadudu wadogo.
 
Utambuzi huzingatia vipimo vya kimiminika cha damu <ref name="pmid10515901">{{cite journal |author=Maurin M, Raoult D |title=Q fever |journal=Clin. Microbiol. Rev. |volume=12 |issue=4 |pages=518–53 |year=1999 |month=October |pmid=10515901 |pmc=88923 |doi= |url=http://cmr.asm.org/cgi/pmidlookup?view=long&pmid=10515901}}</ref> <ref name="pmid12491231">{{cite journal |author=Scola BL |title=Current laboratory diagnosis of Q fever |journal=Semin Pediatr Infect Dis |volume=13 |issue=4 |pages=257–62 |year=2002 |month=October |pmid=12491231 |doi=10.1053/spid.2002.127199 |url=http://linkinghub.elsevier.com/retrieve/pii/S104518700250008X}}</ref> (kuangalia mwitikio wa vilindamwili ) kuliko kuangalia kiumbe chenyewe. Serology inaruhusu ugundulikaji wa maambukizi sugu pale viwango vya juu vya chembe ulinzi za mwili hupatikana dhidi ya maambukizi ya bakteria. Ugunduzi wa molekyulari ya DNA ya bakteria hutumika sana. Ukuzaji huwa ni mgumu na mara nyingi haupo katika maabara nyingi za kusomea wadudu wadogo.
 
Homa ya Q inaweza kusababisha endocarditis (maambukizo ya valvu za moyo ) ambayo inaweza kuhitaji acheokaridiografia transioesofageali kwa ajili ya uchunguzi. Homa ya manjano isababishwayo na homa ya Q hudhihirishwa na mwongezeko wa Alt na AST, lakini utambuzi yakinifu unawezekana kwa kuangalia tishu za ini ambazo huonesha athari kubwa kwenye viduara vya tishu vinavyosaidia damu kufunga {yaani fibrin ring granulomas}. <ref>{{cite journal | title=Patient with fever and diarrea | author=van de Veerdonk FL, Schneeberger PM. | journal=Clin Infect Dis | year=2006 | volume=42 | pages=1051&ndash;2 | doi=10.1086/501027 }}</ref>
 
== Tiba ==
Matibabu ya homa ya papo hapo ya Q kwa kutumia viuwavijidudu ni nzuri sana {{Citation needed|date=NovemberNovemba 2009}} na inapaswa kufanyika kwa kushauriana na mtaalamu wa magonjwa ya kuambukiza {/2. {3/} Madawa yatumikayo mara kwa mara ni doxycycline, Tetracycline, chloramphenicol, ciprofloxacin, ofloxacin, na hydroxychloroquine. Tatizo la muda mrefu ni vigumu kutibu na linaweza kuchukua hadi miaka minne ya matibabu na doxycycline na quinolone au doxycycline na hydroxychloroquine.
 
Wakati wa mimba,homa ya Q ni vigumu kutibu kwa sababu doxycycline na ciprofloxacin hutumika kwa nyakati tofauti wakati wa mimba. Matibabu yanayofaa huwa ni wiki tano kwa kutumia trimoxazole. <ref>{{cite journal|journal=Clin Infect Dis|year=2007|volume=45|pages=548&ndash;555|title=Managing Q fever during pregnancy: The benefits of long-term Cctrimoxazole therapy|author=Carcopino X, Raoult D, Bretelle F, Boubli L, Stein A | doi = 10.1086/520661|pmid=17682987|issue=5}}</ref>
 
== Kuzuia ==
 
Kinga inatolewa na Q-Vax, chanjo ya Australia iliyotengenezwa na kampuni ya CSL ambayo hufanya kiini kizima kisiweze kufanya kazi. <ref> [http://www.csl.com.au/QFever.asp csl.com.au]</ref>. Chanjo ambayo hufanya kazi ndani ya ngozi huwa na ''Coxiella'' ''burnetii waliouawa.'' Ngozi na vipimo vya damu vinatakiwa kufanyika kabla ya chanjo kwa kutambua kinga iliyopo, sababu ni kwamba kuwachanja watu ambao tayari wanakinga kunaweza kusababisha athari kubwa ndani ya mwili. Baada ya dozi moja ya chanjo, kinga hueendelea kwa miaka mingi. Kupigwa chanjo tena huwa si lazima. Uchunguzi wa kila Mwaka unapendekezwa. <ref> [http://cdp.ucsf.edu/fileUpload/UCSF_CDP_Q_Fever_Surveillance_Policy_Q_Neg_Wethers.pdf ]</ref>
 
Mwaka 2001, [[Australia]] ilianzisha mpango wa kitaifa wa chanjo ya homa ya Q kwa watu wafanyao kazi katika maeneo ambapo ni rahisi kupata ugonjwa huu.
 
Umoja wa Urusi uliwahi kutengeneza chanjo ila madhara yake yalizuia utoaji wa leseni kwa ajili ya usambazaji wa dawa hiyo.
 
== Vita ya kibaiolojia ==
Homa ya Q imekuwa ikielezeka kuwa kama silaha ya kibaiolojia. <ref name="pmid14592601">{{cite journal |author=Madariaga MG, Rezai K, Trenholme GM, Weinstein RA |title=Q fever: a biological weapon in your backyard |journal=Lancet Infect Dis |volume=3 |issue=11 |pages=709–21 |year=2003 |month=NovemberNovemba |pmid=14592601 |doi= 10.1016/S1473-3099(03)00804-1|url=http://linkinghub.elsevier.com/retrieve/pii/S1473309903008041}}</ref>
 
Marekani ilichunguza homa ya Q kama silaha yakibaiolojia katika miaka ya 1950 na baadaye kusanifishwa kama wakala OU. Pale Fort Detrick na Dugway Providing Ground majaribio ya kibinadamu yalifanywa kwa Whitecoat volunteers kutambua kipimo cha wastani (18 MICLD <sub>50</sub> / person i.h) na uendelevu wa maambukizi. Kama baiolojia sanifu,ilitengenezwa kwa wingi pale Pine Bluff Arsenal, kulikuwa na galoni 5,098 katika ghala ya silaha wakati wa kuzuia majeshi mwaka 1970.
Homa ya Q imekuwa ikielezeka kuwa kama silaha ya kibaiolojia. <ref name="pmid14592601">{{cite journal |author=Madariaga MG, Rezai K, Trenholme GM, Weinstein RA |title=Q fever: a biological weapon in your backyard |journal=Lancet Infect Dis |volume=3 |issue=11 |pages=709–21 |year=2003 |month=November |pmid=14592601 |doi= 10.1016/S1473-3099(03)00804-1|url=http://linkinghub.elsevier.com/retrieve/pii/S1473309903008041}}</ref>
 
Homa ya Q ni jamii ya kisababishi "B". <ref name="pmid12704232">{{cite journal |author=Seshadri R, Paulsen IT, Eisen JA, ''et al.'' |title=Complete genome sequence of the Q-fever pathogen Coxiella burnetii |journal=Proc. Natl. Acad. Sci. U.S.A. |volume=100 |issue=9 |pages=5455–60 |year=2003 |month=AprilAprili |pmid=12704232 |pmc=154366 |doi=10.1073/pnas.0931379100 |url=http://www.pnas.org/cgi/pmidlookup?view=long&pmid=12704232}}</ref> Inaweza kuambukiza na ni stahimilivu katika usambaaji kwenye viwango mbalimbali vya joto. Vijidudu vya homa ya Q huweza kuishi kwenye ardhi hadi siku 60.
Marekani ilichunguza homa ya Q kama silaha yakibaiolojia katika miaka ya 1950 na baadaye kusanifishwa kama wakala OU. Pale Fort Detrick na Dugway Providing Ground majaribio ya kibinadamu yalifanywa kwa Whitecoat volunteers kutambua kipimo cha wastani (18 MICLD <sub>50</sub> / person i.h) na uendelevu wa maambukizi. Kama baiolojia sanifu,ilitengenezwa kwa wingi pale Pine Bluff Arsenal, kulikuwa na galoni 5,098 katika ghala ya silaha wakati wa kuzuia majeshi mwaka 1970.
 
Homa ya Q ni jamii ya kisababishi "B". <ref name="pmid12704232">{{cite journal |author=Seshadri R, Paulsen IT, Eisen JA, ''et al.'' |title=Complete genome sequence of the Q-fever pathogen Coxiella burnetii |journal=Proc. Natl. Acad. Sci. U.S.A. |volume=100 |issue=9 |pages=5455–60 |year=2003 |month=April |pmid=12704232 |pmc=154366 |doi=10.1073/pnas.0931379100 |url=http://www.pnas.org/cgi/pmidlookup?view=long&pmid=12704232}}</ref> Inaweza kuambukiza na ni stahimilivu katika usambaaji kwenye viwango mbalimbali vya joto. Vijidudu vya homa ya Q huweza kuishi kwenye ardhi hadi siku 60.
 
==Marejeo==
{{reflistMarejeo|2}}
 
== Sehemu nyingine ==
Line 79 ⟶ 77:
{{U.S. biological weapons}}
{{Bacterial diseases}}
 
{{Reflist}}
 
[[Category:Magonjwa ya bakteria]]