Laki : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
 
No edit summary
Mstari 1:
'''Lakhi''' ni neno la asili ya Kihindi la kutaja namba ya 100,000.
 
Mji una wakazi lakhi tano au mia tano elf. Namba 650,000 inaweza kusomwa "lakhi sita na nusu".
Neno limeingia katika [[Kiswahili]] kutokana na historia ndefu ya mawasiliano ya kibiashara kati ya [[Bara Hindi]] na pwani la [[Afrika ya Madhariki]].