Geoffrey William Griffin : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
CGN2010 (majadiliano | michango)
d clean up using AWB
d Minor fix using AWB
Mstari 1:
'''Dkt Geoffrey William Griffin''' (alizaliwa Eldoret Juni 15, Juni 1933 - Juni 28, Juni 2005) alikuwa mkurugenzi mwanzilishi wa [[Shule ya Upili ya Wavulana ya Starehe]]. Alianzisha shule hii mwezi Novemba, 1959 kwa msaada wa marehemu [[Geoffrey Geturo]] na [[Joseph Gikubu,]] Afisa Mwandamizi wa sasa wa mkurugenzi wa shule; alikuwa Mkurugenzi wa shule hii kutoka alipo ianzilisha hadi mwisho wa maisha yake. Pia alikuwa mkurugenzi mwanzilishi wa National Youth Service kati ya 1964 na 1988, wakati alistaafu kutoka Huduma kwa Umma ya Kenya.
 
Starehe hutoa elimu ya hali ya juu bila malipo kwa mayatima na watoto wengi maskini wa Afrika (kwa mfumo unaofanana na [[Christ's Hospital]]). Wanfunzi wengi wa zamani sasa ni watu maarufu nchini Kenya na ulimwenguni. (Waziri mstaafu [[Raphael Tuju]]; [[Paul Ereng]], mshindi wa medali ya dhahabu ya Olimpiki; Dk [[Amrose Misore]], Naibu Mkuu wa Mkurugenzi wa Huduma ya Afya; na [[Prof George Magoha]], Daktari wa upasuaji na Mwanaurolojia ambaye ni Makamu wa Chansela wa sasa wa [[Chuo Kikuu cha Nairobi]] ni wachache tu ya Wanastarehe wa zamani).
 
Ni vyema kutambua kwamba aliyeingia mahala pa Dkt Griffin kama Mkurugenzi wa Shule ya Upili ya Wavulana ya Starehe ni Prof Jesse Mugambi, muelimishaji aliyeheshimika na kujulikana sana nchini Kenya na awali alikuwa profesa wa falsafa katika [[Chuo Kikuu cha Nairobi]]. Wana watatu wa Profesa Mugambi wamepitia katika Shule ya Starehe kama wanafunzi wakati tofauti wakati Dkt Geoffrey William Griffin bado alikuwa mkurugenzi. Profesa alijiuzulu kutoka wajibu wake kama Mkurugenzi wa Shule ya Starehe mnamo Ijumaa, Januari 16, Januari 2009. Sababu iliyotolewa ya kujiuzulu ghafla kwake ilikuwa kwamba [[Chuo Kikuu cha Nairobi]] kilikataa kuongezea muda wa mkataba wake na kumtaka arejelee wajibu wake kama profesa wa falsafa.
 
Griffin alipata elimu isiyo ya juu sana: baada ya kuacha shule mapema, alijiunga, kwanza, na Usoroveya wa Kenya, na kisha King's African Rifles. Baada ya kutumikia wakati wa [[dharura]], alikuja kushawishika na haki ya vuguvugu la [[Mau Mau]], na kuchoshwa na ukatili wa vita.<ref>[0] ^ Anonymous ( Agosti 18 Agosti 2005) ''The Times of London'' online obituary.</ref> Hakuendelea na tume yake, na alianza kushiriki katika jitihada za kukarabati wapiganaji wa zamani waliokamatwa, au walioachiliwa hivi karibuni kutoka kambi za uzuizi. Baada ya miaka kadhaa, aligeuza harakati zake kwa watoto waliofanywa yatima na vita, na kuanzishaa kituo cha kuwaokoa , kilichokua chanzo cha Starehe.
 
Griffin aliondokea kuwa kiongozi mwanzilishi kielimu na alituzwa PhD ya Heshima katika Elimu na [[Chuo Kikuu cha Kenyatta]] kwa kuifanya Shule ya Starehe kuwa mojawapo wa shule bora zaidi sio tu nchini Kenya bali katika Afrika na ambayo inajulikana ulimwengu mzima kama kituo cha ubora wa elimu.
 
Alipatiwa cheo cha Moran of the Order of Burning Spear na Rais [[Kenyatta]] mwaka wa 1970, ya Moran of the Order of the Golden Heart na Rais [[Moi]] mwaka wa 1986 na Order of the British Empire na [[Malkia Elizabeth II]] mwaka wa 2002, na tuzo ya Lifetime Achievement na Tume ya Kitaifa ya Kutetea Haki za Binadamu ya Kenya mwaka wa 2005 [http://www.eastandard.net/archives/cl/hm_news/news.php?articleid=23985 ]
 
==Vidokezo==
{{reflistMarejeo}}
 
==Viungo vya nje==
*Anonymous ( Agosti 18 Agosti 2005) [http://www.timesonline.co.uk/article/0,,60-1739371,00.html ''TimesOnline'' obituary,] [[The Times]].
 
*Kwamchetsi Makokha ( Juni 29 Juni. 2005) [http://www.eastandard.net/archives/cl/hm_news/news.php?articleid=23985 Starehe founder Griffin dies at 72] ''The East African Standard''
*Anonymous ( Agosti 18 2005) [http://www.timesonline.co.uk/article/0,,60-1739371,00.html ''TimesOnline'' obituary,] [[The Times]].
*Kwamchetsi Makokha ( Juni 29. 2005) [http://www.eastandard.net/archives/cl/hm_news/news.php?articleid=23985 Starehe founder Griffin dies at 72] ''The East African Standard''
 
==Makala ya Waandishi==
 
*Geoffrey Griffin (1994) ''School Mastery: Straight talk about boarding school management in Kenya,'' (Nairobi: Lectern Publications).
*Roger Martin (1978) ''Anthem of bugles: the story of Starehe Boys Centre and School,'' (Nairobi, London: Heinemann Educational).