Malaika Gabrieli : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.2) (Roboti: Imebadilisha: en:Gabriel
d Minor fix using AWB
Mstari 3:
Katika [[dini]] zinazotaka kufuata [[imani]] ya [[Abrahamu]], '''Gabrieli''' (kwa [[Kiebrania]] גַּבְרִיאֵל|Gavri'el|Gaḇrîʼēl, Mungu ni nguvu yangu}}; kwa [[Kiarabu]] جبريل, ''Jibrīl'' or جبرائيل ''Jibrāʾīl'') ni [[malaika]] aliyetumwa na [[Mungu]] kuleta ujumbe wa pekee.
 
Kwa sababu hiyo [[Wakatoliki]] wanamheshimu kama [[malaika mkuu]] pamoja na [[malaika Mikaeli]] na [[malaika Rafaeli]], hasa tarehe [[29 Septemba]].
 
[[Ukristo|Wakristo]] wengine pia wanamheshimu kwa kupasha habari ya kutungwa kwa [[Yohane Mbatizaji]], halafu kwa [[Yesu]] inavyosimuliwa na [[Injili ya Luka]].
Mstari 12:
 
==Marejeo==
* Bamberger, Bernard Jacob, (15 MarchMachi 2006). ''[[Fallen Angels: Soldiers of Satan's Realm]].'' Jewish Publication Society of America. ISBN 0-8276-0797-0
* Briggs, Constance Victoria, 1997. ''The Encyclopedia of Angels: An A-to-Z Guide with Nearly 4,000 Entries.'' Plume. ISBN 0-452-27921-6.
* Bunson, Matthew, (1996). ''Angels A to Z: A Who's Who of the Heavenly Host.'' Three Rivers Press. ISBN 0-517-88537-9.