France 24 : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.6.5) (Roboti: Imeongeza hy:France 24
d Minor fix using AWB
Mstari 2:
[[Picha:France 24 News presenter.jpg|right|thumb|Mwanahabari, Francois Picard.]]
 
'''France 24''' ni stesheni yakimataifa ya kutangaza habari. Ilianza utangazaji mnamo 6 Desemba 2006.
 
Inapata fedha kutoka kwa serikali ya Ufaransa, na makao yake iko mjini [[Issy-les-Moulineaux]],<ref>"[http://www.france24.com/en/contact-us Contact Us]." France 24. Retrieved on 29 OctoberOktoba 2009.</ref> karibu na mj wa Paris. Hivi sasa inatangaza habari kwa Kiingereza, Kiarabu na Kifaransa.
 
Bajeti yake kwa mwaka ni takriban milioni €80. Rais Nicolas Sarkozy alitangaza kuwa anapendelea kuwa stesheni hii itangaze kwa lugha ya Kifaransa pekee.ref>[http://www.lemonde.fr/web/article/0,1-0@2-3236,36-999167@51-999278,0.html La chaîne France 24 dans l'incertitude], Le Monde</ref>
Mstari 46:
 
==Wafanyikazi wakuu==
*Mwenyekiti: Alain de Pouzilhac
*Meneja wa habari: Albert Ripamonti
*Msimamizi jalada: Jean Lesieur
*Msimamizi wa nakala za Kiarabu: Nahida Nakad
*Msimamizi wa teknolojia: Frédéric Brochard
*Meneja wa wafanyikazi: Béatrice Le Fouest
*Meneja wa fedha: Frédéric Genea
*Mkuu wa sheria: Anne Kack
*Utangazaji: Patrice Begay
 
===Matumaini===
Mstari 63:
 
==Marejeo==
{{reflistMarejeo}}
 
[[Jamii:Ufaransa]]