For a Few Dollars More : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
d Minor fix using AWB
Mstari 9:
| muziki = [[Ennio Morricone]]
| sinematografia = Massimo Dallamano
| mhariri =
| msambazaji = [[United Artists]]
| imetolewa = '''[[Italia]]''':<br>Novemba 18, Novemba 1965<br>'''[[Marekani]]''':<br>Mei 10, Mei 1967
| muda = 132
| nchi = [[Italia]]<br />Hispania
| lugha = [[Kiitalia]]
| bajeti = [[Dola ya Marekani|$]]600,000 (makad.)
| ilitanguliwa_na = ''[[A Fistful of Dollars]]''
| ikafuatiwa_na = ''[[The Good, the Bad and the Ugly]]''
}}
'''''For a Few Dollars More''''' ({{lang-it|Per qualche dollaro in più}}) ni filamu ya mwaka wa 1965 ya [[Kiitalia]]-Kihispania ya [[spaghetti western]] ambayo imeongozwa na [[Sergio Leone]]. Ndani yake anakuja [[Clint Eastwood]], [[Lee Van Cleef]] na [[Gian Maria Volonté]] wakiwa kama nyota wakuu wa filamu hii.<ref>''[[Variety Film Reviews|Variety]]'' film review; February 16, Februari 1966, page 6.</ref> Mwigizaji wa Kijerumani [[Klaus Kinski]] amecheza kama mwigizaji msaidizi katika upande wa maadui. Filamu ilitolewa nchini Marekani kunako mwaka wa 1967 na ni ya pili katika kile kisa kinajulikana kwa jina la [[Dollars Trilogy]].
 
==Hadithi==
[[Clint Eastwood|Eastwood]] (anatambulika kama "[[Man with No Name]]") na [[Lee Van Cleef|Van Cleef]] (kama Colonel Douglas Mortimer na anatambulika kama "Man in Black") wanacheza kama wakamata watoro wanaomwinda "El Indio" ([[Gian Maria Volonté]]), ni mmoja kati ya watoro wanaotafutwa sawana katika maeneo ya western, na kundi lake la kijambazi (mmoja katika hao kacheza Kinski).
 
Indio ni mkatili mno, mtu mwenye maarifa ya juu. Ana saa ya muziki ambayo anaichezesha kwanza kabla hajaingia kwenye mashindano ya kutandikana bunduki. "Wakati sauti ya kengere inaisha, anaanza," anasema. Kumbukumbu za awali zinaonyesha kwamba ile saa inatoka kwa msichana mdogo (Rosemary Dexter), ambaye amejiua baada ya kubakwa na Indio alipomkuta na mpenzi wake (katika utunzi wa riwaya ya Joe Millard wa filamu, bwana mdogo huo ni mumewe aliolewa naye karibuni) na akamwulia mbali. Saa imebeba picha ya mwanamke na ilitolewa kama zawadi kutoka kwa bwana mdogo kabla hajauawa.
Mstari 32:
Lengo kuu la Indio ni kuiibia Benki ya El Paso na sefu yake ya uongo iliyojaa "mamilioni ya madola." Mortimer anamfuatilia Manco kiubishi na kujiunga na kundi la Indio wakati wa wizi wa benki ilimradi "awashe moto baina yao." Manco amepewa uanachama kundini baada ya kumwokoa mmoja kati ya wanakundi wa Indio jela.
 
Wakati anaiibia benki, kapeleka kundi la majambazi na fedha mpakani mwa mji mdogo wa Agua Caliente, ambapo Mortimer anakutana na Manco. Mshirika mwingine Wild ([[Klaus Kinski]]) amemtambua Colonel tangu katika shambulio la awali ambalo Colonel amemkutana kwa makusudi na kumlazimisha wapambane ambapo aliuliwa na Colonel. Yule Colonel amejithibitisha kama anathamani kwa Indio kwa kufungua lile sefu bila kutumia milipuko, lakini Indio ameeleza nia yake ya kusubiri mwezi iwapo watalazimika kupitisha mgao au wasubiri vuguvugu la wizi wa benki liishe au wazifungie zile pesa na wajikatae.
 
Manco na Colonel wanapiga hesabu ya kuiba zile pesa walizoiba benki kutoka mikononi mwa Indio, lakini wale vibaka wakawakamata na kuwapa kichapo cha haja. Mtu wa karibu wa Indio Nino ([[Mario Brega]]), amepewa agizo kutoka kwa Indio, kuuwa walinzi wao na kuwatoa wale wauwaji wa malipo. Indio anafahamisha kundi lake kwamba "wametoweka," na kuwatuma kuwakimbiza wale wauaja wa malipo waliotoroka. Amenuia kuuwa kundi lake lote kwa kutumia wauwaji wa kulipwa huku yeye na Nino wakichukua mgao wa pesa kivyao. Hata hivyo, yule mjanjarukaji Groggy ([[Luigi Pistilli]]) ametambua nia thabiti Indio, na kumwua Nino. Kabla hajamuua Indio, amekuta Colonel keshaondoa pesa zote zilizoibiwa na Indio katika mahali ambapo alificha. Indio anamshawishi Groggy kuunga vikosi ili wawatie nguvuni wale wauaji wa kulipwa.
 
Asubuhi yake, Manco na Mortimer wakatandika risasi lile kundi, mmoja baada ya mwingine, mule mitaani mwa mjini pale. Kubaki mpweke, Mortimer anamtandika risasi Groggy wakati kila mmoja anakimbilia hilo, halafu bunduki yake ikipigwa kutoka mkononi mwake na Indio, ambaye alichukua kifuko-cha-saa yake na kuanza kupiga mlio. Wakati mlio unaishia, Manco akatokea ghafla akiwa na kifuko-cha-saa aina ileile, kinachopiga mlio uleule kama wa Indio, ambapo Mortimer anagundua kama kilichukuliwa kwake hapo awali.
 
Wakati hili linatokea, Manco ameshika [[Henry rifle|bunduki ya Henry]] kwa Indio na kutoa mkanda wa bunduki na pistol yake kwa Mortimer, dalili ya kushindwa. "Sasa tunaanza," Manco anatangaza na kukaa wakati Mortimer na Indio wanatoa macho. Wakati wa kusimama kidete, Manco anatazama chini ya kifuko-cha-saa na kumuona mwanamke yuleyule ambaye Indio alimbaka. Muziki unaishia, na Mortimer anafyatua risasi kwa Indio.
Mstari 44:
==Washiriki==
[[Image:For a Few Dollars More1.jpg|thumb|right|400px|Picha ya kiwambo cha filamu. Lee Van Cleef amepigwa picha kwa chini kulia.]]
 
===Viongozi===
*'''[[Clint Eastwood]]''' kama Manco ("Blondie") ("[[The Man with No Name]]")
*'''[[Lee Van Cleef]]''' kama Colonel Douglas Mortimer
*'''[[Gian Maria Volonté]]''' kama El Indio ("The Indian")
 
===Kundi la majambazi===
*'''[[Luigi Pistilli]]''' kama Groggy, mwanachama wa kundi la Indio
*'''[[Klaus Kinski]]''' kama Juan Wild, mwanachama wa kundi la Indio
*'''[[Benito Stefanelli]]''' kama Huey (''aka'' Luke), mwanachama wa kundi la Indio<ref>[http://www.fistful-of-leone.com/forums/index.php Sergio Leone Web Board]. Retrieved on 26 JanuaryJanuari 2010.</ref>
*'''[[Mario Brega]]''' kama Niño, mwanachama wa kundi la Indio
*'''[[Aldo Sambrell]]''' kama Cuchillo, mwanachama wa kundi la Indio
Line 61 ⟶ 62:
*'''Giovanni Tarallo''' kama mwanatelegrafia Santa Cruz
*'''[[Joseph Egger]]''' kama Old Prophet
*'''[[Lorenzo Robledo]]''' kama Fred, msaliti wa El Indio
*'''Mara Krupp''' kama Mary, mke wa meneja wa hoteli
*'''Mario Meniconi''' kama Konda wa Treni
Line 67 ⟶ 68:
*'''[[Sergio Mendizábal]]''' kama meneja wa benki ya Tucumcari
*'''[[Tomás Blanco]]''' kama sheriff wa Tucumcari
 
==Marejeo katika vyombo vya habari vingine==
*[[Lando Buzzanca]] parodied the film in ''[[For a Few Dollars Less]]''.<ref>http://www.youtube.com/watch?v=NBzBfFZUyoU&feature=related</ref>
 
==Tanbihi==
{{reflistMarejeo}}
 
==Viungo vya Nje==
* {{imdb title|id=0059578}}