Embakasi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
CGN2010 (majadiliano | michango)
d clean up using AWB
d Minor fix using AWB
Mstari 1:
'''Embakasi''' ni mtaa wa [[Nairobi]], mji mkuu wa [[Kenya]]. Uko mashariki mwa katikati ya jiji. Ni mtaa wa makazi na wengi wa raia wanaoishi humo ni wa mapato ya daraja la pili la wastani. [[Uwanja wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta]], uwanja wa ndege mkuu Nairobi uko Embakasi na ulijulikana kama ''Embakasi Airport'' wakati ulipofunguliwa mwaka wa 1958.
 
Katika masaa ya asubuhi ya 27 Januari 27, 2008, Mbunge wa [[Eneo Bunge la Embakasi]], Mugabe Were alipigwa risasi na washambulizi wawili na kufa. Kulingana na taarifa za habari, Mugabe alikuwa tu amewasili katika boma yake wakati aliposhambuliwa akiwa bado katika gari lake, kabla ya lango kufunguliwa. Mugabe alichaguliwa kuwa mjumbe wa [[Orange Democratic Movement]], chama cha upinzani nchini Kenya. Uvumi kuhusu uwezekano wa mauaji haya kuwa ya kisiasa bado unazingira kifo hiki. Kama ni hivyo, hii ingekuwa hatua mpya katika mgogoro unaoendelea kuhusu uchaguzi wa rais wa 27 Desemba 27, 2007<ref>http://www.reuters.com/article/worldNews/idUSWAL22103220080129</ref>.<ref>http://news.bbc.co.uk/2/hi/africa/7214558.stm</ref>
 
== Tarafa ya Embakasi ==
Embakasi pia ni jina la utawala la tarafa mjini Nairobi. Imegawanywa katika maeneo yafuatayo (sensa ya 1999<ref>[2] ^ International Livestock Research Institute: [http://www.ilri.cgiar.org/html/Urban%20Poverty%20all%20Kenya%20Province%20through%20Location%20Final.xls Urban Poverty Estimates For Kenya's Provinces, Districts, Kitengo na Locations]</ref>
 
*[[Dandora]]
Mstari 16:
 
== Usafiri ==
 
Embakasi ina huduma ya [[Inland Container Depot]].
 
== Angalia Pia ==
 
* [[Eneo Bunge la Embakasi]] eneo bunge la uchaguzi Nairobi
 
== Marejeo ==
{{ReflistMarejeo}}
* [http://www.fallingrain.com/world/KE/5/Embakasi.html FallingRain Map - elevation = 177m (alama nyekundu ni reli)]
{{nairobi}}