Einigkeit und Recht und Freiheit : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Minor fix using AWB
Mstari 3:
Beti asilia ya kwanza inajulikana kutokana na chanzo chake "Ujerumani juu ya yote" (''Deutschland, Deutschland über alles'') lakini baada ya maarifa ya utaifa mkali katika karne ya 20 uliopeleka nchi katika vita kuu mbili Wajerumani wengi hawapendi tena beti hii hivyo haitumiki tena.
[[Picha:Wajerumani karne ya 19.jpg|thumb|300px|Maeneo yaliyokaliwa na Wajerumani wakati wa karne ya 19]]
 
==Historia==
Joseph Haydn alitunga muziki hii kwa heshima ya [[Kaisari]] [[Franz I wa Austria|Franz]] wa [[Austria]] na [[Dola Takatifu la Kiroma]] likawa wimbo la taifa la Austria hadi mwisho wa ufalme mwaka 1918.
Line 13 ⟶ 14:
 
Katika karne ya 19 wimbo la Hoffmann lilipendwa na watu lakini halikuwa wimbo la kitaifa lililokuwa wimbo la kumsifu kaisari hadi 1918. 1922 lilitangazwa kuwa wimbo la taifa katika jamhuri ya Ujerumani; baada ya vita kuu ya pili rais wa [[Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani]] alitangaza beti ya tatu kama wimbo la taifa lakini katika [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kijerumani]] walikuwa na nyimbo tofauti.
Tangu 1990 beti la tatu ni wimbo la Ujerumani iliyounanika.
 
{| border="0" noborder
|-----
|
 
==Maneno ya Kijerumani==
|
 
==Tafsiri kwa Kiswahili==
|-----
| col="2" |
 
===Beti ya Kwanza===
|-----
Line 37 ⟶ 41:
:'''U'''jerumani, Ujerumani juu ya yote
:juu ya yote duniani
:kama muda wote kwa ulinzi
:inasimama kindugu
:kutoka mto [[Meuse]] ''(upande wa magharibi)'' hadi mto [[Neman]]'' (upande wa mashariki)'',
:kutoka mto [[Adige]] ''(upande wa kusini mpakani wa Italia)'' hadi [[Belt]] ''(Bahari upande wa kaskazini /[[Denmark]])''.
Line 45 ⟶ 49:
|-----
| col="2" |
 
===Beti ya Pili===
|-----
Line 67 ⟶ 72:
|-----
| col="2" |
 
===Beti ya tatu - Wimbo rasmi la Taifa la Ujerumani===
|-----
Line 80 ⟶ 86:
|
:Umoja na haki na uhuru
:kwa nchi ya Kijerumani
:Huku tushikamane sisi sote
:kindugu kwa moyo na mkono
Line 90 ⟶ 96:
|}
__NOTOC__
 
==Related pages==
*[[Deutsche Nationalhymne|German National Anthem]]