9,497
edits
d (r2.7.3) (Roboti: Imeongeza no:Edward Lowassa) |
d (Minor fix using AWB) |
||
{{Mwanasiasa
| jina =Edward Ngoyai Lowassa
| nchi =Tanzania
| picha =
| maelezo_ya_picha =
| cheo 1 = '''Mbunge'''
| bunge la = [[Tanzania]]
| jimbo la uchaguzi = Monduli ([[mkoa wa Arusha|Arusha]])
| akitanguliwa na 2 = [[Frederick Sumaye]]
| akifuatwa na 2=
| tarehe ya kuzaliwa = 26 Agosti
| mahali pa kuzaliwa =
| kifo =
| dini = Mkristo
| }}
'''Edward Ngoyayi Lowassa''' (amezaliwa [[26 Agosti]]
Lowassa ni mwenyeji na mbunge wa [[Monduli]] katika [[Mkoa wa Arusha]]. Alisoma shahada ya kwanza katika mada ya tamthilia kwenye Chuo Kikuu cha [[Dar es Salaam]], halafu shahada ya pili katika sayansi kwenye Chuo Kikuu cha Bath ([[Uingereza]]).
Lowassa alishika vyeo mbalimbali katika serikali ya Tanzania kama vile:
* Waziri Mkuu (2005 - 2008)
* Waziri wa Maji na Mifugo (2000 - 2005)
* Mkurugenzi wa Kituo cha Kimataifa cha Mikutano (1989 - 1990)
* Waziri mdogo wa mazingira na mapambano dhii ya umasini katika ofisi ya Makamu wa Rais (1988-2000)
* Mbunge wa Monduli tangu 1990
==Viungo vya nje==
|
edits