Clint Eastwood : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.3) (Roboti: Imeongeza jv:Clint Eastwood
d Minor fix using AWB
Mstari 6:
| tarehe ya kuzaliwa = {{Birth date and age|1930|5|31}}
| mahala pa kuzaliwa = [[San Francisco]] [[Marekani]]
| tarehe ya kufa =
| mahala alipofia =
| jina lingine =
| kazi yake = [[Mwigizaji]]
[[Matayarishaji wa filamu|Mtayarishaji]]
| miaka ya kazi = 1955–hadi leo
| ndoa = Maggie Johnson (1953–84; watoto wawili)
Dina Ruiz (1996–present; mtoto mmoja)
| watoto = Kimber Tunis
Kyle Eastwood
Alison Eastwood
Scott Eastwood
Kathryn Reeves
Francesca Fisher-Eastwood
Morgan Eastwood
| mahusiano ya kimapenzi =
| tovuti =

'''Clinton Eastwood, Jr''' (amezaliwa [[31 Mei]], [[1930]]) ni mwigizaji wa filamu, mtunzi wa nyimbo, muongozaji na mtayarishaji wa filamu kutoka nchini [[marekani]].

Anafahamika zaidi kwa kucheza [[filamu za Western]] maarufu kama [[Spaghetti Westerns]], ni [[filamu]] zinazotoka sana nchini [[Italia]] hiyo ilikuwa kwemye miaka ya [[60]] akiwa na [[muongozaji]] wa [[filamu]] wa ki[[italia]] [[Sergio Leone]], katika mfululizo wa filamu ya ''The Man with No Name''.

Mfululizo huo kulikuwa na filamu kama ''A Fistful of Dollars'' (Iliyochezwa [[1964]]) For a Few Dollars More (Iliyochezwa [[1965]]) na The Good, the Bad and the Ugly (Iliyochezwa [[1966]]).

Mbali na filamu hizo Clint alicheza katika filamu nyingine mbalimbali ikiwemo ile ya ''Dirty Harry'' aliocheza kama Inspekta Dirty Harry Callahan katika mfululizo huo wa filamu ya ''Dirty Harry'' filamu ambayo ilitamba sana kwenye miaka ya [[1970]].