Burj Al Arab : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.3) (Roboti: Imeongeza kk:Бурж әл-Араб
d Minor fix using AWB
Mstari 1:
'''Burj Al Arab''' inayomaanisha "Mnara wa Waarabu" ni hoteli ya anasa iliyo jijini [[Dubai]]. Ni jengo linalotumika kama hoteli pekee lililo na urefu wa mita 321, na ni nambari ya pili katika orodha ya majengo marefu kote duniani..<ref name="test1">{{cite news |date=MarchMachi 2008 |title=World's Tallest Hotels |url=http://www.emporis.com/en/bu/sk/st/tp/ty/ho/ |publisher=Emporis |accessdate=2008-03-23}}</ref> Hoteli hii imejengwa kwenye kisiwa bandia inayounganishwa na bara kavu kwa daraja. Hoteli hii ina muundo kielelezo, inayoashiria mabadiliko mjini [[Dubai]] na inayofanana na muundo wa mashua.
[[Picha:abb.jpg|thumb|right|Hoteli ya Burj Al Arab]]
 
== Ujenzi ==
Ujenzi ulianza mnamo mwaka 1994 hadi 2000. Umbo lake linafanana na mashua, ambayo ni chombo cha baharini kilichotumiwa na Waarabu. Aliyebuni jengo hili ni Tom Wright.<ref>{{Cite web |title=Burj Al Arab |url=http://www.galinsky.com/buildings/burjalarab/index.htm |publisher=Galinsky |accessdate=2008-06-08}}</ref> Ilijengwa na kamuni ya ujenzi na ukandarasi inayoitwa Murray & Roberts kutoka [[Afrika Kusini]].<ref name="test5">{{cite news|date= 2006-06-21 | title = Murray & Roberts | url = http://www.murrob.com/ | publisher = Murray & Roberts| accessdate = 2006-06-21}}</ref> Hoteli hii ilitumia dola milioni 650 za Marekani kujenga..<ref name="test4">{{cite news |year= 2006 | title = Burj Al Arab | url = http://www.forbestraveler.com/hotel/100/10590|publisher = Forbes Traveler| accessdate = 2007-01-24}}</ref>
 
 
== Yaliyomo ==
 
 
 
=== Vyumba na bei zake ===
Hoteli hii ina vyumba 202. Ni mojawapo kati ya hoteli ghali zaidi kote duniani. Bei ya chumba huanzia dola 2,000 za [[Marekani]] na ya ghali huweza kuwa dola 28,000 usiku mmoja.
Line 18 ⟶ 15:
Mpishi Mkuu wa Mkahawa wa Al Muntaha, Edah Semaj Leachim, alituzwa tuzo la ''Mpishi Bora wa 2006'' na ndiye mwenye mkahawa huu.
Vilevile Mkahawa wa Al Mahara ilichaguliwa kuwa moja kati ya mikahawa kumi bora kote duniani na ''Condé Nast Traveler.''
 
 
 
== Marejeo ==
* Rose, Steve. [http://arts.guardian.co.uk/features/story/0,11710,1652149,00.html "Sand and Freedom"], ''The Guardian'', November 28, Novemba 2005, retrieved October27 27,Oktoba 2006.
* National Geographic Television. [http://www.youtube.com/watch?v=7A7d67A24Qo: National Geographic: Megastructures], retrieved October 27, Oktoba 2006.
 
== Maandiko ya chini ==
{{reflistMarejeo}}
 
 
== Viungo vya nje ==