Jean-Bedel Bokassa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.2+) (Roboti: Imeongeza lb:Jean-Bédel Bokassa
d Minor fix using AWB
Mstari 4:
 
== Mwanajeshi ==
 
Bokassa alizaliwa Bobangi akajiunga na jeshi la kikoloni la [[Ufaransa]]. Hadi mwisho wa [[Vita Kuu ya Pili ya Dunia]] alipanda ngazi akafikia cheo cha afande. Hadi 1961 akawa kepteni. 1964 alitoka katika jeshi la Ufaransa akaingia katika jeshi la jamhuri changa ya Afrika ya Kati. Akiwa ndugu wa rais [[David Dacko]] akaendelea kupanda ngazi hadi kuwa mkuu wa jeshi.
 
== Rais na dikteta ==
 
Tar. 1 Januari [[1966]] Bokassa akampindua rais Dacko akajitangaza kuwa rais mpya akafuta katiba ya nchi.
Bokassa alisaidiwa mara kadhaa na Ufaransa. Mwaka 1967 aliomba na kupata msaada wa wanajeshi Wafaransa ili apate kuimarisha utawala wake.
 
1972 Bokassa akajitangaza kuwa rais wa maisha. Aliona majaribio mbalimbali ya kumpindua au kumwua lakini kwa jumla ni wapinzani wake waliopaswa kuaga dunia.
Line 17 ⟶ 15:
 
== Kaisari ==
Septemba 1976 Bokassa aliachicha serikali yake akaanzisha "Halmashauri ya Mapinduzi ya Afrika ya Kati": 4 DisembaDesemba 1976 akatangaza jamhuri kuwa milki na weyewe kuwa Kaisari kwa mfano wa Napoleoni. Bokassa alirudi katika kanisa katoliki, akawaalika wageni wengi na katika sherehe iliyogharamia dollar milioni 30 akajiwekea taji la Kaisari "Bokassa I".
 
Septemba 1976 Bokassa aliachicha serikali yake akaanzisha "Halmashauri ya Mapinduzi ya Afrika ya Kati": 4 Disemba 1976 akatangaza jamhuri kuwa milki na weyewe kuwa Kaisari kwa mfano wa Napoleoni. Bokassa alirudi katika kanisa katoliki, akawaalika wageni wengi na katika sherehe iliyogharamia dollar milioni 30 akajiwekea taji la Kaisari "Bokassa I".
 
Serikali yake iliendelea kuwa ya kidikteta. Wapinzani waliuawa hovyo au kupotea magerezani.
Line 30 ⟶ 27:
 
== Mwisho gerezani ==
 
Bokassa alipewa hukumu ya mauti lakini hakuhudhuria kesi. Aliporudi mwaka 1986 alikamatwa na kuhukumiwa tena afe. Adhabu ilipunguzwa baadaye kuuwa miaka 20.