Togo ya Kiingereza : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
d Minor fix using AWB
Mstari 2:
'''Togo ya Kiingereza''' ilikuwa eneo lililokabidhiwa mkononi wa Uingereza baada ya [[Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia]].
 
Mwaka 1914 [[Uingereza]] na [[Ufaransa]] walipatana kuvamia [[Togo ya Kijerumani]] na kugawana eneo lake. Theluthi ya magharibi ya koloni ya Kijerumani iliwekwa chini ya Uingereza na kutawaliwa pamoja na maeneo ya [[Ghana]]. Sehemu kubwa zaidi ilikuwa chini ya Ufaransa.
 
Katika [[Mkataba wa Versailles]] iliamuliwa ya kwamba koloni za kale za [[Ujerumani]] zitakuwa chini ya mamlaka mkuu wa [[Shirikisho la Mataifa]] zikitawaliwa na nchi zinazotekeleza utawala. Nafasi ya Shirikisho la mataifa ilichukuliwa baada ya 1945 na [[Umoja wa Mataifa]].
Mstari 10:
Masharti ya [[UM]] yalikuwa nadharia tu kwa muda mrefu lakini yalipata umuhimu tena wakati wa uhuru. Kwa sababu hiyo wakazi wa maeneo ya Ghana yaliyowahi kuwa sehemu za eneo la Togo ya Kijerumani walipewa nafasi ya kuamua kama wangependelea kuendelea na Ghana au kuunganishwa tena na [[Togo]] yenyewe.
 
Katika kura ya DisembaDesemba 1956 waliamua kubaki upande wa Ghana.
 
[[Jamii:Togo]]