Dr. Dre : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d The file Image:Dre_Dre.jpg has been replaced by Image:Dr._Dre.jpg by administrator commons:User:Logan: ''File renamed: Dr. was misspelled.''. ''Translate me!''
d Minor fix using AWB
Mstari 16:
|Tovuti = [http://www.dre2001.com Dre2001.com]
}}
'''Andre Romelle Young''' (amezaliwa tar. [[18 Februari]], [[1965]]) ni [[mtayarishaji wa rekodi]], [[rapa]], na mmiliki wa studio ya rekodi za muizki kutoka nchini [[Marekani]]. Anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama '''Dr. Dre'''. Dre ni mwanzilishi na mmiliki wa sasa [[Aftermath Entertainment]] na mmiliki mshiriki-msanii wa zamani wa studio ya [[Death Row Records]], na pia kutayarisha albamu kadhaa kwa ajili yake na wasanii wengine kadhaa wa rekodi hiyo kama vile [[Snoop Dogg]] na [[Eminem]].
 
Akiwa kama mtayarishaji, amejipatia sifa sana kwa kuukuza muziki wa [[West Coast hip hop|West Coast]] [[G-funk]], staili ya muziki wa rap unaotengenezwa na [[synthesizer]]-yenye ya taratibu, na mdundo wa nguvu.
Mstari 25:
Mnamo mwaka wa 1996, aliondoka Death Row na kwenda kuanzisha studio yake mwenyewe ya Aftermath Entertainment, na kutoa albamu ya mchanganyiko ya ''[[Dr. Dre Presents the Aftermath]]'', kunako 1996, na ksiha baadaye akatoa albamu yake nyingine iliyokwendwa kwa jina la ''[[2001 (albamu)|2001]]'', kunako 1999, ambayo ili mfanya ashinde Tuzo ya Grammy akiwa kama mtayarisha bora.
 
Kunako miaka ya 2000, aliekeza shughuli zake za utayarishaji wa muziki kwa wasanii wengine, wakati muda huo akawa anashiriki katika kutia sauti kwenye baadhi ya nyimbo za wasanii wengine.
 
''[[Rolling Stone]]'' wamemwita ni mmoja kati ya wasanii waliolipwa pesa nyingi sana kwa mwaka wa 2001<ref name="wealth 2001">{{cite web|last=LaFranco|first=Robert|coauthors=Binelli, Mark; Goodman, Fred|title=U2, Dre Highest Earning Artists|url=http://www.rollingstone.com/news/story/5933378/u2_dre_highest_earning_artists|work=[[Rolling Stone]]|date=2002-06-13|accessdate=2006-12-08}}</ref> na 2004.<ref name="wealth 2004">{{cite web|last=LaFranco|first=Robert|title=Money Makers|url=http://www.rollingstone.com/news/story/6959138/money_makers/print|date=2005-02-10|accessdate=2006-12-08}}</ref> Dr.&nbsp;Dre also had acting roles in the 2001 films ''[[The Wash (film)|The Wash]]'' and ''[[Training Day]]''.<ref name="hip hop musical">{{cite news|last=Moss|first= Corey|title=Dr. Dre's Final Album Will Be Hip-Hop Musical |url=http://www.mtv.com/news/articles/1453255/20020403/dr_dre.jhtml |work=MTV News|date=2002-04-03|accessdate=2007-08-09}}</ref>
 
== Wasifu ==
=== Maisha ya awali ===
Alizaliwa akiwa kama mtoto wa kwanza wa Verna na Theodore Young, Dr.&nbsp;Dre alizaliwa na jina la André Romelle Young mnamo tar. [[18 Februari]], [[1965]], wakati mama yake akiwa na umri wa miaka 16. Ameolewa na baba yake, Theodore Young, baada ya kuzaliwa kwake. Jina lake la kati, "Romelle," linatoka katika jina la Theodore Young, ambalo ni jina la kundi la kuimba muziki wa R&B wa lidhaa, The Romells. Mnamo mwaka wa 1968 mama yake akatarikiwa na Theodore Young na kisha baadaye akaja kuoelewa na Curtis Crayon. Kwa pamoja wakaja kuzaa tena mitoto mitatu, wawili wa kiume Jerome na Tyree (wote wamefariki) na binti mmoja aliyeitwa Shameka.
 
Mnamo mwaka wa 1976 Young akapata kujiunga na shule ya Vanguard Junior High School, lakini kwa kufuatia vurugu, fujo na uhuni uliojaa katika shule ya Vanguard, akahamishwa katika kitongoji kilichosalama kabisa katika shule ya Roosevelt Junior High School.<ref>{{harvnb|Ro|2007|p=9}}</ref> Baadaye Verna akajakuolewa na Warren Griffin, ambaye alikutana naye katika eneo la kazi yake mpya huko Long Beach,<ref>{{harvnb|Ro|2007|p=10}}</ref> ambaye yeye ndiye aliongeza madada wengine watu na mkaka mmoja katika familia. Huyo ndugu wa kiume, Warren Griffin III, ambaye baadaye alikuja kuwa na rapa na kujiita [[Warren G]].<ref>{{Harvnb|Kenyatta|2000|p=14}}</ref>
 
Young alielekeza zake tena katika shule ya Centennial High School ya mjini Compton wakati wa ujana wake mnamo mwaka wa 1979, lakini alihamisha katika shule ya Fremont High School kwa kufuatia viwango vidogo. Young akathubutu kujiandikisha katika kampuni moja iitwayo Northrop Aviation Company kwa mpango wa kujiendeleza kivitendo, lakini viwango vidogo vya shuleni vimefanya awe hafai. Baada ya hapo, akaamua kulenga maisha yake ya kijamii katika masuala ya burudani kwa ajili ya maisha yake ya shule.<ref>{{harvnb|Ro|2007|p=2}}</ref> Young akapata mtoto wa kiume, Curtis, aliyezaliwa tar. [[15 Desemba]], [[1981]], na Lisa Johnson. Curtis Young alilelewa na mama yake na hajaonana na baba yake hadi Curtis alipokuja kuwa rapa akiwa na umri wa miaka 20 hapo baadaye, akiwa na jina la kisanii la Hood Surgeon.<ref>{{harvnb|Ro|2007|p=11}}</ref>
 
Young alielekeza zake tena katika shule ya Centennial High School ya mjini Compton wakati wa ujana wake mnamo mwaka wa 1979, lakini alihamisha katika shule ya Fremont High School kwa kufuatia viwango vidogo. Young akathubutu kujiandikisha katika kampuni moja iitwayo Northrop Aviation Company kwa mpango wa kujiendeleza kivitendo, lakini viwango vidogo vya shuleni vimefanya awe hafai. Baada ya hapo, akaamua kulenga maisha yake ya kijamii katika masuala ya burudani kwa ajili ya maisha yake ya shule.<ref>{{harvnb|Ro|2007|p=2}}</ref> Young akapata mtoto wa kiume, Curtis, aliyezaliwa tar. [[15 Desemba]], [[1981]], na Lisa Johnson. Curtis Young alilelewa na mama yake na hajaonana na baba yake hadi Curtis alipokuja kuwa rapa akiwa na umri wa miaka 20 hapo baadaye, akiwa na jina la kisanii la Hood Surgeon.<ref>{{harvnb|Ro|2007|p=11}}</ref>
== Muziki ==
=== Albamu ===
{{Main|Diskografia ya Dr. Dre}} {{Main|Kazi zilizotayarisha na Dr. Dre}}
 
* ''[[The Chronic]]'' (1992), [[Death Row Records|Death Row]]
* ''[[2001 (albamu)|2001]]'' (1999), [[Aftermath Entertainment|Aftermath]]
* ''[[Detox (albamu ya Dr. Dre)|Detox]]'' (2009), Aftermath
 
== Marejeo ==
{{Marejeo}}
 
== Viungo vya Nje ==
* [http://www.dre2001.com Official website]
* {{imdbIMDb name|id=0236564|name=Dr. Dre}}
* [http://ifihavent.wordpress.com/2007/01/20/moving-target-dr-dre-feature-in-the-source-1992/ Moving Target : article in The Source] by Ronin Ro, NovemberNovemba 1992
 
{{Dr. Dre}}