My Way (albamu ya Usher) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.3) (Roboti: Imeongeza vi:My Way (album của Usher)
d Minor fix - remove comment copied from en:, not applicable here using AWB
Mstari 1:
{{Infobox album
{{Infobox Album <!-- See Wikipedia:WikiProject_Albums -->
| Jina = My Way
| Type = Studio
Mstari 11:
| Mtayarishaji = [[Jermaine Dupri]]
| Reviews =
* [[:en:Allmusic|Allmusic]] {{Rating|4|5}} [http://www.allmusic.com/cg/amg.dll?p=amg&sql=10:kcv1z8ha1yv5 kiungo]
* ''[[:en:Q (magazine)|Q]]'' {{Rating|4|5}} <ref>http://www.cduniverse.com/search/xx/music/pid/1041864/a/My+Way.htm ''My Way'' product info and notes at CDuniverse.com</ref>
* ''[[:en:Rolling Stone|Rolling Stone]]'' (imechanganyika) [http://www.rollingstone.com/artists/usher/albums/album/99477/review/6067900/my_way kiungo]
| Albamu iliyopita = ''[[Usher (albamu)|Usher]]''<br />(1994)
| Albamu ya sasa = '''''My Way'''''<br />(1997)
Mstari 31:
}}
 
'''''My Way''''' ni jina la kutaja albamu ya pili ya [[mwimbaji]]-[[mtunzi wa nyimbo|mtunzi]] wa [[R&B]] [[Usher Raymond|Usher]]. Albamu ilitolewa ba studio ya [[LaFace Records]] mnamo tar. [[16 Septemba]] ya mwak wa [[1997]]. Single maarufu kutoka kwenye albamu hii, ni pamoja na "You Make Me Wanna", "My Way", na "Nice and Slow".
 
Pia inajumlisha ule wimbo alioimba na msanii wa kike maarufu kwa jina la [[Monica]], na wimbo uliitwa Slow Jam, ukiwa kama kibwagizo cha filamu ya ''[[:en:Soul Food (film)|Soul Food]]'', ambao awali uliimbwa na kundi la muziki la zamani la Midnight Star mnamo mwaka wa 1983.
 
Kwa bahati, ameanza zaidi ya kopi milioni sita kwa U.S. na zaidi ya milioni nane kwa hesabu ya dunia nzima na kuifanya kuwa albamu yake ilivyovunja rekodi ya albamu yake ya kwanza iliyokwenda kwa jina lake mwenyewe iliyopata mauzo hafifu.
 
Hii ni albamu ya Usher iliyofupi zaidi, yaani albamu ina nyimbo kumi tu. Albamu imepata kushika nafasi ya 4 katika U.S., nafasi ya 3 katika Kanada na 16 katika UK. Single zote zilizotoka kwenye albamu hii zimepata mafanikio makubwa kabisa, zikiwa single zote zimeshika nafasi ya kwanza au ya pili kwa U.S. na [[You Make Me Wanna]] ikashika nafasi ya kwanza katika UK na kuufanya wimbo wa kwanza wa [[Usher Raymond|Usher]] kushika nafasi ya kwanza katika UK.
 
==Orodha ya nyimbo==
# "[[You Make Me Wanna|You Make Me Wanna...]]" - 3:39
# "Just Like Me" (akimshirikisha [[Lil' Kim]]) - 3:26
# "[[Nice and Slow|Nice & Slow]]" - 3:48
# "Slow Jam" (akimshirikisha [[Monica]]) - 4:40
# "[[My Way (wimbo wa Usher)|My Way]]" - 3:38
# "Come Back" - 3:47
# "I Will" - 3:55
# "[[Bed Time|Bedtime]]" - 4:45
# "One Day You'll Be Mine" - 3:24
# "You Make Me Wanna..." (Toleo Lililoongezwa) - 5:20
 
==Sampuli==
'''One Day You'll Be Mine'''
* "[[Footsteps in the Dark]]" wa [[Isley Brothers|The Isley Brothers]]
 
==Marejeo==
{{marejeoMarejeo}}
 
==Viungo vya Nje==
* [http://www.mtv.com/bands/az/usher/89863/album.jhtml] [[mtv.com]] page on ''My Way''
 
{{Usher}}