Zauditu wa Ethiopia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.2+) (Roboti: Imebadilisha: en:Zewditu I
Minor fix using AWB
Mstari 1:
[[Picha:Ethiopia empress zauditu.jpg|thumb|200px|Malkia Zauditu wa Ethiopia]]
'''Zauditu''' ([[29 Aprili]], [[1876]] – [[2 Aprili]], [[1930]]) alikuwa malkia mtawala wa [[Uhabeshi]] kuanzia 27 Septemba 1916 hadi kifo chake. Alimfuata [[Iyasu V]]. Jina lake la kubatizwa lilikuwa ''Askala Maryam''. Alikuwa mtoto wa kwanza wa [[Menelik II]]. Mwanzoni utawala wake ulisumbuliwa na uasi wa Iyasu aliyekuwa ameuzuliwa. Malkia huyu anajulikana kwa jinsi alivyopenda dini na alivyokuwa mpinzani mkubwa wa mabadiliko aliyokuwa akiyafanya Ras Tafari Makonnen. Zauditu aligombana sana naye Makonnen, kuhusu mambo ya siasa lakini alishindwa. Naye Tafari alimfuata kama mfalme chini ya jina la [[Haile Selassie]].
 
{{mbeguMbegu-Kaizari-Uhabeshi}}
 
{{DEFAULTSORT:Zauditu}}