Zakaria Kibona : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Bot: repairing dead link playerhistory.com
Minor fix using AWB
Mstari 1:
{{Football player infobox
| jinalamchezaji = Zakaria Kibona
| picha =
| jinakamili = Zakaria Kibona
| tareheyakuzaliwa = {{umri na tarehe ya kuzaliwa|1990|3|14|df=yes}}
Mstari 10:
| klabuyasasa = [[Atlantis FC]]
| nambayaklabu =14
| miakayavijana =
| klabuzavijana = [[Atlantis FC]]
| miaka = [[2008]]
Mstari 18:
| timuyataifa = [[Tanzania national football team|Tanzania U-15]]<br>[[Tanzania national football team|Tanzania U-17]]<br>[[Tanzania national football team|Tanzania]]
| nationalcaps(goals) = 23 (10)<br>14 (1)<br>15 (0)
| pcupdate = [[14 Machi]], [[2008]]
| ntupdate = [[14 Machi]], [[2008]]
}}
''' Zakaria Kibona''' (amezaliwa tar. [[14 Machi]], [[1990]] mjini [[Dar es salaam]]) ni mchezaji wa [[mpira wa miguu]] kutoka nchini [[Tanzania]], ambaye kwa sasa anaichezea klabu ya [[Atlantis FC]] inayoshiriki katika ligi ya pili ya [[Ufini]] katika mji mkuu wa [[Helsinki]] nchini [[Ufini]].
 
==Kuanza kwake mpira Ufini==
Zakaria ni mshambuliaji matata wa katika kati ambae alijiunga na Atlantis FC ya vijana mwaka 2002 na alicheza na klabu hiyo hadi mwaka 2007 baada ya kocha wa klabu ya Atlantis FC ya watu wakubwa kuomba apandishwe katika timu ya wakubwa na baadae alionekana kua ni mchezaji mzuri ambae kwa sasa anacheza mechi nyingi nakua kiungo muhimu wa timu hiyo.
 
===Timu ya taifa ya Tanzania===
Bwana Zakaria Kibona aliichezea [[timu ya taifa ya Tanzania]] ya vijana wa umri mdogo ya myaka 15 na myaka 17 kabla ya mwaka 2006 kuitwa kuichezea timu ya taifa ya [[Tanzania]] ya watu wakubwa na kwa sasa anamechi 15 na timu ya taifa hiyo ya Tanzania.