Zain Verjee : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d →‎Viungo vya nje: kubwa ---> ndogo herufi, replaced: Watu Walio Hai → Watu walio hai using AWB
Minor fix using AWB
Mstari 2:
 
==Historia==
'''Zain Verjee''' (alizaliwa 11 Februari, 1974) ni mwandishi wa [[Kanada]] mwenye asili ya Kihindi. Alizaliwa na kulelewa nchini [[Kenya]]. Hivi sasa, yeye ni mtangazaji wa habari katika kipindi cha ''CNN'' cha ''World Report'' yaani ripoti ya dunia nzima, kipindi hiki huandaliwa jijini [[London]],[[Uingereza]]. Hapo awali, yeye alifanya kazi kama msoma habari katika kipindi cha ''The Situation Room'', mwanahabari mshirika wa idara ya serikali na mtangazaji mwenza wa kipindi cha CNN cha ''Your World Today.''
 
Verjee alijiunga na [[CNN]] katika mwaka wa 2000, kabla ya hayo alikuwa msomaji wa habari katika Mfumo wa Runinga wa Ghana,jijini Nairobi. Ameripoti habari mbalimbali na matukio ya duni nzima:mkutano wa Waziri Mkuu Atal Bihari Vajpayee wa [[India]] na Rais Pervez Musharraf wa Pakistan, migogoro ya Mashariki ya Kati,kesi ya aliyekuwa kiongozi wa [[Yugoslavia]](Slobobdan Milosevic), mashambulizi ya Septemba 11 Septemba,Hajj na vita nchini [[Iraq]]. Yeye ,pia,huripoti kuhusu habari ya biashara barani [[Afrika]] katika kipindi cha kila wiki cha ''Inside Africa'' katika stesheni ya CNN.Kipindi hiki huhusu habari ya kindani na kamilifu ya bara la Afrika.
 
Mnamo Julai 2006, aliripoti kutoka kwa DMZ ya Korea na katika mwezi wa Septemba, aliko fanya mahojiano na aliyekuwa rais wa [[Iran]], [[Mohammed Khatami]].
Mstari 14:
Alichapisha hivi majuzi kitabu ''Live & On the Air'', kitabu cha watoto kinachochunguza maisha ya msichana kutoka vijiji anahamia Nairobi kutafuta kazi kama mtangazaji wa habari. Verjee amezalisha pia kampeni zilizofanikiwa za kusambaza ujumbe kuhusu Ukimwi, Hepatitis B na Polio.
 
Mnamo Januari 16, Januari 2008,alipokuwa akirekodi ripoti kuhusu maandamano ya kupinga serikali mjini Nairobi,aligongwa mgongoni kwa mkebe mwenye gesi ya machozi uliotupwa na polisi.Video hiyo ilionyeshwa baadaye katika stesheni ya CNN.Hakuumia sana katika tukio hilo.
 
==Masomo==
Mstari 20:
* Alisoma pia katika [[Chuo Kikuu cha York]] nchini Kanada.
* Anazungumza Gujarati, Kiswahili na Kifaransa ya kuongea.
 
==Marejeo==
# http://cnnstudentnews.cnn.com/CNN/anchors_reporters/images/verjee.zain.jpg
# http://www.cnn.com/2008/WORLD/africa/01/16/kenya.tension/index.html
 
==Viungo vya nje==
* [http://www.imdb.com/name/nm2333683/bio Biografia]
* [http://www.cnn.com/CNN/anchors_reporters/verjee.zain.html Biografia katika tovuti ya C.N.N.]
* [http://www.indiantelevision.com/special/y2k3/yt/zainverjee.htm Zain Verjee, mtangazaji wa CNN ]
* [http://www.nationaudio.com/News/DailyNation/20052001/Features/LIfestyle1.html Daily Nation ], Me1 20, 2001.
* [http://cities.expressindia.com/fullstory.php?newsid=60674 Indian Express], August18 18,Agosti 2003.
* [http://www.sajaforum.org/2006/11/media_zain_verj.html SAJAforum.org]
 
{{DEFAULTSORT:Verjee, Zain}}