Adolf Butenandt : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.6.4) (Roboti: Imeongeza za:Adolf Butenandt
Minor fix using AWB
Mstari 1:
[[Picha:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
 
'''Adolf Friedrich Johann Butenandt''' ([[24 Machi]], [[1903]] – [[18 Januari]], [[1995]]) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya [[Ujerumani]]. Hasa alichunguza [[homoni]] zisababishazo kuvutiwa kijinsia. Mwaka wa [[1939]], pamoja na [[Leopold Ruzicka]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel ya Kemia]]'''. Serikali ya Ujerumani walimlazimisha kukataa tuzo lakini aliruhusiwa kuipokea mwaka wa 1949.
 
{{DEFAULTSORT:Butenandt, Adolf}}
{{mbeguMbegu-mwanasayansi}}
 
[[Jamii:Waliozaliwa 1903]]