Albert Camus : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.3) (Roboti: Imeondoa: diq:Albert Camus
Minor fix using AWB
Mstari 3:
[[Picha:Albert Camus, gagnant de prix Nobel, portrait en buste, posé au bureau, faisant face à gauche, cigarette de tabagisme.jpg|thumb||250px|Albert Camus]]
 
'''Albert Camus''' ([[7 Novemba]], [[1913]] – [[4 Januari]], [[1960]]) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya [[Ufaransa]]. Alizaliwa katika nchi ya [[Algeria]]. Hasa anajulikana kwa [[riwaya]] zake, k.m. "Mgeni" (kwa Kifaransa ''L'Étranger'', mwaka wa 1942) au "Tauni" (''La Peste'', mwaka wa 1947). Mwaka wa 1957 alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel]] ya Fasihi'''. Aliuawa katika ajali ya motokaa.
[[Picha:Albert Camus.png|thumb|left|Albert Camus alivyochorwa na Petr Vorel.]]
 
{{mbeguMbegu-mwandishi}}
 
{{DEFAULTSORT:Camus, Albert}}