Ali Hassan Mwinyi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.3) (Roboti: Imeongeza hr:Ali Hassan Mwinyi
Minor fix using AWB
Mstari 1:
[[Picha:Ali Hassan Mwinyi 2.jpg|thumb|Ali Hassan Mwinyi]]
'''Ali Hassan Mwinyi''' (amezaliwa [[8 Mei]], [[1925]]) alikuwa Rais wa Pili wa [[Tanzania]] kuanzia 1985 hadi 1995. Aliyemtangulia ni [[Mwalimu Julius Nyerere]], na aliyemfuata ni [[Benjamin Mkapa]]. Kabla hajachaguliwa kuwa Rais, Mwinyi alikuwa Waziri wa Mambo ya Ndani na Makamu Rais. Pia alikuwa mwenyekiti wa [[Chama Cha Mapinduzi]] (CCM) kuanzia 1990 hadi 1996.
 
Mwinyi alizaliwa kwenye kisiwa cha [[Unguja]] (Zanzibar).
 
Wakati wa urais wa Mwinyi, sera za [[Ujamaa]] zilianza kugeuzwa. Badala yake sera za [[soko huru]] zilianzishwa, masharti ya kuingiza bidhaa kutoka nchi za nje yalipunguzwa na uanzishaji wa biashara ya watu binafsi ulihamasishwa. Mwaka wa 1991, uanzishaji wa vyama vingi uliruhusiwa.