Alpha Blondy : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.3) (Roboti: Imeongeza yo:Alpha Blondy
Minor fix using AWB
Mstari 11:
| aina ya muziki = Raggae
| kazi yake = Muimbaji, Mtungaji
| miaka ya kazi = 1982 - Mpaka leo
| ameshirikiana na = [[Magic System]]
| ala = Sauti
Mstari 17:
}}
 
'''Alpha Blondy''' (Alizaliwa kama '''Seydou Koné''', tar. [[1 Januari]], [[1953]] mjini [[Dimbokoro]], [[Côte d'Ivoire]], [[Afrika ya Magharibi]]), ni mwanamuziki wa Reggae na msanii anayerekodi nyimbo zake nyingi kimataifa.
 
Alpha Blondy mara nyingi huimba kwa lugha ya kidioula ambayo ndio lugha yake ya taifa huku akichanganya [[Kifaransa]] na [[Kiingereza]] , Lakini pia wakati mwingine huimba kwa [[Kiarabu]] au [[Kiyahudi]]. Mashairi yake yanamanisha siasa kali yenye mwelekeo na uchangamfu.
 
== Maisha ya Mwanzo ==
Alpha ni mtoto wa kwanza katika familia ya watoto tisa, Jina la kuzaliwa ni Seydou Kone amezaliwa mjini Dimbokro mnamo [[1953]]. Alilelewa na bibi yake mzaa mama.
Mnamo mwaka [[1962]], Alpha Blondy alikwenda kukaa na baba yake aliyekuwa anaishi mjini Odienne, Ambapo alikaa kwa muda wa miaka kumi, Baadae akijiunga na shule ya Sainte Elisabeth high school, na kujishughulisha na makundi ya wanafunzi ya Ivory Coast. Hapo ndipo alipo unda bendi. Ingawaje, Upenzi huu uliathiri masomo yake na baadae Blondy alikufukuzwa shule kutokana na maudhulio mabovu shuleni.
 
Wazazi wake Alpha wakampleka mtoto wao aAplha kusomea lugha ya Kiingereza mjini Monrovia, mji mkuu wa nchi jirani ya [[Liberia]] mnamo mwaka [[1973]].
Huko Alikaa kwa muda wa mwaka mmoja na mwezi mmoja kisha akamia nchini [[Marekani]] kwa kuongozea taaluma yake zaidi.
 
Mstari 33:
Alifanya kazi kwa juhudi zote,wakati mwingine hadi usiku, akitafuta hadi kuna kipindi anakuwa mgonjwa. Akiwa New York alikutana na Marastafari kwa mara ya kwanza, Pia alikuwa na uwezo wa kuangalia matamasha ya wanamuziki wa ki[[jamaica]] kama kina [[Burning Spear]] n.k. Wakati huo yeye alikuwa akirekodi nyimbo za kikristo lakini hakuthubutu kuacha kuandika nyimbo zake mwenyewe.
 
Kwa bahti alikuwa akidodosa sehemu mabalimbali za mjini [[New York]] na baade kurudi kidoogo nichi [[Ivory Coast]], Ambako alipata matatizo saana mpaka alivyokuja kukutana rafiki yake waliokuwa wote toka utoto, Fulgence Kassi, Ambaye baadae alikujua kuwa mtayarishaji maarufu wa vipindi vya television.
Hapo ndipo alipoanza kuonekana kama kazi yake kweli ni uimbaji, na kutumia jina la 'Alpha Blondy'.
 
== Imani Yake ==
== Nyimbo Maarufu ==