Anne Sullivan : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.2+) (Roboti: Imebadilisha: fr:Anne Sullivan
Minor fix using AWB
Mstari 1:
[[Image:AnneSullivanMacy.jpg|right|thumb|300px|Anne Sullivan mnamo 1887]]
'''Anne Sullivan''' ([[14 Aprili]], [[1866]] – [[20 Oktoba]], [[1936]]) alikuwa mwalimu kutoka nchini [[Marekani]]. Anafahamika zaidi kwa kuwa kama mwalimu wa mwanaharakati wa haki za binadamu Bi. [[Helen Keller]].
 
Anne Sullivan alizaliwa mjini [[Feeding Hills, Massachusetts|Feeding Hills]], [[Massachusetts]]. Wazazi wake, Thomas Sullivan na Alice Clohessy, walikuwa wakulima maskini kutoka nchini [[Ireland|Eire]], ambao walikimbia nchini mnamo mwaka wa 1847 kwasababu ya [[Ukame wa Eire|ukame]] uliotokea nchini humo kwa kipindi hicho.
 
{{mbeguMbegu-mtu}}
 
{{DEFAULTSORT:Anne Sullivan}}