Tofauti kati ya marekesbisho "Annise Parker"

1 byte removed ,  miaka 8 iliyopita
Minor fix using AWB
d (r2.7.3) (Roboti: Imeongeza zh:安妮斯·帕克)
(Minor fix using AWB)
[[Picha:Annise Parker.JPG|thumbnail|Annise Parker]]
'''Annise Danette Parker''' (amezaliwa tar. [[17 Mei]], [[1956]]) ni meya mpya wa mji wa [[Houston]] jimboni [[Texas]]. Ni meya shoga wa kwanza wa mji mkubwa nchini [[Marekani]]. Wakati wa kampeni za uchaguzi alijulikana sana wakati huo alipojitangaza kuwa ni shoga. Parker ni ni mwanachama wa [[Democratic Party (United States)|Chama cha Kidemokrasia]] na alikuwa ni mwanachama wa baraza la mji katika Houston.
 
== Viungo vya Nje ==
9,497

edits