Antonio Casas : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Bot: Simplifying links ([link|linktext] → [link]text)
Minor fix using AWB
Mstari 4:
| picha = Antonio Casas.jpg
| maelezo_ya_picha = Antonio katika filamu ya the The Good, the Bad and the Ugly mnamo mwaka 1966.
| jina la kuzaliwa = Antonio Casas
| alizaliwa = [[11 Novemba]], [[1911]]<br> [[Hispania]]
| kafariki = [[14 Februari]], <br>[[Madrid]]
| jina lingine =
| kazi yake = Mwigizaji
| miaka ya kazi = 1941 hadi 1982
| ndoa =
| rafiki =
| watoto =
| wazazi =
| mahusiano =
| tovuti =
}}
'''Antonio Casas''' (alizaliwa tar. [[11 Novemba]], [[1911]] mjini A Coruña, Galicia, - akafariki dunia tar. [[14 Februari]] mwaka [[1982]] mjini [[Madrid]], [[Hispania]]) alikuwa mchezaji mpira wa miguu wa [[Hispania]], aliekuja kuwa mwigizaji wa filamu kati ya mwaka [[1941]] na [[1982]] kifo chake kilivyowadia.
 
Casas awali aliaza kama mchezaji [[mpira wa miguu]] lakini baadae akajiingiza katika masuala ya ugizaji wa filamu mnamo mwaka 1941 na akafanya karibuni filamu 170 za kikawaida na TV pia hadi 1982. Casas alionekana katika filamu iliongozwa na [[Sergio Leone]] zile za Spaghetti Western, filamu yenyewe ilikuwa ile ''The Good, the Bad and the Ugly'' mnamo mwaka [[1966]], ni filamu ambayo iliwahi kuchaguliwa kuwa itakuwa bora kwa miaka yote.
Mstari 24:
 
==Viungo vya Nje==
* {{imdbIMDb name|id=0143030|name=Antonio Casas}}
 
{{Mbegu-igiza-filamu}}