Bernard Katz : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.1) (Roboti: Imeongeza jv:Bernard Katz
Minor fix using AWB
Mstari 1:
[[Picha:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
 
'''Bernard Katz''' ([[26 Machi]], [[1911]] – [[20 Aprili]], [[2003]]) alikuwa mwanafiziolojia kutoka nchi ya [[Ujerumani]]. Wakati wa utawala wa [[Hitler]] alihamia [[Uingereza]]. Hasa alichunguza [[neva]]. Alipewa cheo cha "Sir" mwaka wa [[1969]]. Mwaka wa [[1970]], pamoja na [[Ulf von Euler]] na [[Julius Axelrod]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel ya Tiba]]'''.
 
{{mbeguMbegu-mwanasayansi}}
 
{{DEFAULTSORT:Katz, Bernard}}