Billboard 200 : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.3) (Roboti: Imeongeza gl:Billboard 200
Minor fix using AWB
Mstari 2:
 
Chati hii imeegemea sana upande mmoja tu wa mauzo (mauzo ya rejareja na yale ya dijitali) ya albamu huko nchini Marekani. Mauzo ya nyimbo yanaanza siku ya Jumatatu na kuishia Jumapili. Chati mpya inachapishwa kwa Alhamis inayofuata ikiwa na tarehe ya toleo lijalo la Jumamosi.
: Mfano:
:: Jumatatu Januari 1 Januari — wiki ya mauzo ya nyimbo yanaanza
:: Jumapili Januari 7 Januari — wiki ya mauzo ya nyimbo yanaisha
:: Alhamisi Januari 11 Januari — chati mpya zinachapishwa, ikiwa pamoja na tarehe ya toleo la Jumamosi tar. 20 Januari.
 
== Viungo vya Nje ==
* [http://www.billboard.com/charts/billboard-200#/charts/billboard-200 Current Billboard 200]