Cordell Hull : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.2) (Roboti: Imeongeza io:Cordell Hull, oc:Cordell Hull
Minor fix using AWB
Mstari 2:
[[Picha:Hull-Cordell-LOC.jpg|thumb|right|Cordell Hull]]
 
'''Cordell Hull''' ([[2 Oktoba]], [[1871]] – [[23 Julai]], [[1955]]) alikuwa mwanasheria na mwanasiasa kutoka nchi ya [[Marekani]]. Kuanzia 1933 hadi 1944 alikuwa [[Waziri wa Mambo ya Nje]]. Mwaka wa [[1945]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel]] kwa Amani''' kwa ajili ya kazi yake ya kuanzisha [[Umoja wa Mataifa]].
 
{{DEFAULTSORT:Hull, Cordell}}
{{mbeguMbegu-mwanasiasa}}
 
[[Jamii:Waliozaliwa 1871]]