Tofauti kati ya marekesbisho "Cornelis Langenhoven"

No change in size ,  miaka 9 iliyopita
Minor fix using AWB
(Minor fix using AWB)
'''Cornelis Jacobus Langenhoven''' ([[13 Agosti]], [[1873]] - [[15 Julai]], [[1932]]) alikuwa mwandishi wa [[Afrika Kusini]], hasa upande wa mashairi na insha. Yeye huonekana kama mwandishi mkuu wa fasihi ya [[Kiafrikaans]] mwanzoni mwa karne ya 20. Anajulikana kwa kutunga maneno ya wimbo wa taifa wa kwanza wa Afrika Kusini, ''Die Stem'' ("Mwito").
 
== Angalia pia ==
* [[Orodha ya Waandishi wa Afrika Kusini]]
 
==Marejeo==
* Chapman, Michael. 2003. ''Southern African Literatures'', University of Natal Press. ISBN 1-86914-028-1
 
{{mbeguMbegu-mtu}}
 
{{DEFAULTSORT:Langenhoven, Cornelis}}
9,527

edits