Tofauti kati ya marekesbisho "Derek Barton"

2 bytes removed ,  miaka 8 iliyopita
Minor fix using AWB
d (r2.7.1) (roboti Nyongeza: fa:درک بارتون)
(Minor fix using AWB)
[[Picha:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
 
'''Derek Harold Richard Barton''' ([[8 Septemba]], [[1918]] – [[16 Machi]], [[1998]]) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya [[Uingereza]]. Hasa alichunguza mfumo wa [[molekuli]] mbalimbali. Mwaka wa [[1969]], pamoja na [[Odd Hassel]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel ya Kemia]]'''. Mwaka wa [[1972]] alipewa cheo cha "Sir".
 
{{mbeguMbegu-mwanasayansi-Ulaya}}
 
{{DEFAULTSORT:Barton, Derek}}
9,497

edits