Donatello : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Roboti: Imeongeza io:Donatello
Minor fix using AWB
Mstari 1:
[[Picha:Uffizi Donatello.jpg|thumb|Sanamu ya Donatello mjini Firenze]]
[[Picha:Donatello david plaster replica head and shoulders front right 1000px wide.jpg|thumb|Daudi, kichwa na mabega]]
'''Donato di Niccolò di Betto Bardi''' (*[[1386]] hadi [[13 Desemba]], [[1466]]) huitwa kwa kawaida '''Donatello''' (Donato mdogo) alikuwa [[msanii]] wa [[zama ya mwamko]] nchini [[Italia]].
 
Alikuwa mwenyeji wa mji wa [[Firenze]] akawa [[mchongaji]] mashuhuri wa wakati wake.
Mstari 10:
Tangu [[1407]] alionekana kama fundi na mchongaji wa kujitegemea aliyepewa kazi ya kupamba ma[[kanisa]] na majumba ya matajiri. Alionyesha ya kwamba alijifunza mengi kutoka [[sanaa]] ya Waroma wa Kale hivyo alikuwa kiongozi wa harakati ya mwamko wa sanaa ya kale katika Italia iliyoathiri sanaa kote [[Ulaya]].
 
Donatello alitumia [[ubao]], [[marumaru]] na [[metali]] kwa kazi zake.
 
Kati ya sanamu zake mashuhuri sana ni [[Daudi (Biblia)|Daudi kama mchungaji kijana]] na [[Maria Magdalena]].
 
<gallery>
Mstari 19:
Image:Gattamelata.jpg|Jenerali Gattamelata
Image:Stmark.jpg|[[Mtakatifu Marko]]
Image:Siena.Duomo.Donatello.JohnBaptist0.jpg|[[Yohane Mbatizaji]], [[Kanisa kuu]] la [[Siena]]
Image:Firenze.PalVecchio.Donatello.JPG|[[Juditi]] na Holofernes (Palazzo Vecchio - Firenze)
Image:Maria.Magdalena.jpg|Sanamu ya [[Maria Magdalena]] [[Firenze]]
Mstari 34:
|accessdate= 2007-09-01}}
 
{{mbeguMbegu-mtu}}
 
{{DEFAULTSORT:Donatello}}