Tofauti kati ya marekesbisho "Double Impact"

9 bytes removed ,  miaka 7 iliyopita
Minor fix using AWB
d (Roboti: Imeongeza gl:Double Impact)
(Minor fix using AWB)
{{Filamu
| rangi = Golden
| jina = Double Impact
| picha = Double Impact.jpg
| maelezo ya picha = Kasha ya filamu ya Double Impact.
| imeongozwa na = Sheldon Lettich
| imetungwa na = Sheldon Lettich

[[Jean Claude Van Damme]]

Peter Krikes
| imetaarishwa na = [[Jean Claude Van Damme]]

Paul Michael Glaser
| nyota = [[Jean Claude Van Damme]]

Geoffrey Lewis

| muziki = Arthur Kempel
| imehaririwa na = Mark Conte
| imesambazwa na = Columbia Pictures
| muda = dk. 107
| imetolewa tar. = [[9 Agosti]], [[1991]]
| nchi = [[Marekani]]
| lugha = [[Kiingereza]]

'''Double Impact''' ni filamu ya mwaka [[1991]], iliyoongozwa na Sheldon Lettich na ilichezwa na mwigizaji shupavu na mjasiri [[Jean Claude Van Damme]] alicheza kama Alex/Chad Wagner.

== Muhtasari wa filamu ==
Alex na Chad Wagner walizaliwa watoto mapacha waliokuja kutengana wakiwa bado wachanga, kutokana na kuawa kwa wazazi wa watoto hao. Baada ya miaka 25 wakaja kukutana tena kwa mara ya kwanza na kuanza kuunda kikosi cha pamoja ili waweze kulipiza kisasi kwa watu waliohusika kuhondosha uhai wa wazazi wao.

== Washiriki ==
* [[Jean Claude Van Damme]] — Chad Wagner / Alex Wagner
* Philip Chan — Raymond Zhang
* Cory Everson|Corrina Everson — Kara

== Viungo vya nje ==
* {{ImdbIMDb title|id=0101764|title=Double Impact}}

[[Jamii:Filamu za 1991]]
9,497

edits