Ernest Shonekan : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.1) (Roboti: Imeongeza sr:Ернест Шонекан
Minor fix using AWB
Mstari 1:
[[Image:Ernest Shonekan.jpg|thumb|right|160px|Ernest Shonekan.]]
 
'''Ernest Adegunle Oladeinde Shonekan''' (amezaliwa tar. [[9 Mei]], [[1936]] mjini [[Lagos]], [[Nigeria]]) alikuwa rais wa tisa kwa nchi ya [[Nigeria]]. Shonekan pia ni mwanasheria aliyesomea sheria nchini [[Uingereza]]. Pia ni mmiliki wa kiwanda na pia mwanasiasa.
Alichaguliwa kama rais wa muda wa [[Nigeria]] na Jeneral [[Ibrahim Babangida]] mnamo tar. [[26 Agosti]], mwaka [[1993]]. Alikuwa rais kwa miezi mitatu tu.
 
Ernest Shonekan alitanguliwa na [[Ibrahim Babangida]], kisha akafuatiwa na Jenerali [[Sani Abacha]].
 
{{Mbegu-mwanasiasa}}