Fid Q : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Bot: Simplifying links ([link|linktext] → [link]text)
Minor fix using AWB
Mstari 6:
| jina la kiraia = Farid Kubanda
| jina la kisanii = Fid Q
| alizaliwa = [[13 Agosti]], [[1982]]
| alikufa =
| nchi = [[Tanzania]]
| aina ya muziki = Hip hop
| kazi yake = Mwanamuziki
| miaka ya kazi =
| ameshirikiana na = [[Juma Nature]]
[[Professor Jay]]
[[Witness]]
[[Mr. Paul]]
[[Daz Baba]]
[[Langa Kileo]]
[[Black Rhino]]
[[T.I.D.]]
[[Adiri]]
| ala = Sauti
| kampuni = [[Bongo Records]]
[[Mj Records]]
[[Baucha Records]]

'''Farid Kubanda''' (amezaliwa tar. [[13 Agosti]], [[1982]], katika hospitali ya [[Bugando]] iliyopo jijini [[Mwanza]]) ni msanii wa hip hop na [[bongo flava]] kutoka nchini [[Tanzania]]. Anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama '''Fid Q'''.

==Historia==
===Shughuli za awali (kwa ufupi)===
Fid Q alianza shughuli za muziki mnamo miaka ya 1990. Fid Q alitoa kibao chake cha kwanza mwaka 2000 kiitwacho 'Huyu na Yule' ambacho hicho aliimba na msanii [[Mr Paul]]. Kibao hiki kilimpa heshima kubwa, kibao hicho kilirekodiwa katika studio za [[MJ records]] chini ya usimamizi wake [[Master Jay]] mwenyewe.

Kibao chake cha pili kutoka kiliitwa 'Binti Malkia' ambacho alimshirikisha Noorelly. Ilivyofika mnamo mwaka wa 2004 Fid Q alivunja ukimya wake kwa kibao chake mahili kilichokwenda kwa jina la "[[Fid Q.com]]", na kibao hicho alikifanya katika studi ya [[Baucha Records]] baada ya kuhama kwa MJ.

Kibao hicho kiliirudisha ile hiphop ya Tanzania katika ramani yake halisi na inasemekana hivyo kwasababu kipindi hicho ni kile ambacho wasaanii wengi wa muziki wa kufokafoka walikuwa wamejiingiza katika masuala ya uimbaji kwasababu kulikuwa na uvumi wa kwamba hip hop haikubaliki kwa watu wa Tanzania.
Ilipofika mwezi wa [[Januri]] ya [[26]] katika mwaka wa 2008, Fid Q alipakua kibao kiitwacho "[[Ni Hayo Tu]]" alichomshirikisha [[Professor Jay|Prof. J]] na [[Langa]]. Kibao hicho kilibahatika kujinyakulia [[Kili Music Awards|Tuzo ya Kili]] kikiwa kama kibao bora cha muziki wa hip hop kwa mwaka wa 2007-2008.

Ilipofika mwezi wa [[Januri]] ya [[26]] katika mwaka wa 2008, Fid Q alipakua kibao kiitwacho "[[Ni Hayo Tu]]" alichomshirikisha [[Professor Jay|Prof. J]] na [[Langa]]. Kibao hicho kilibahatika kujinyakulia [[Kili Music Awards|Tuzo ya Kili]] kikiwa kama kibao bora cha muziki wa hip hop kwa mwaka wa 2007-2008.

Fid Q ana albamu mbili kwenye soko la muziki. Albamu ya kwanza inaitwa inayoitwa "[[Vina Mwanzo Kati na Mwisho]]".<ref>[http://babkubwa.com/?p=45 Tovuti inayoonyesha Fid Q kutoa albamu yake mpya - katika Babu Kubwa]</ref> Mwishoni mwa mwaka 2009 alitoa albamu ya pili "PROPAGANDA", ambayo imepokelewa vizuri sana Tanzania na nchi nyingine za Afrika Mashariki. Mashabiki wa Hip Hop wanaichukulia PROPAGANDA kama ni albamu bora kabisa, yaani 'classic'. Hivi karibuni anategemea kutoa albamu yake ya tatu itakayokwenda kwa jina la "KitaaOLOJIA".

==Marejeo==
{{reflistMarejeo}}

==Viungo vya nje==
* [http://www.fidq.com Tovuti rasmi ya Fid Q]
* {{MySpace|fidq|Fareed Kubanda}}

{{mbeguMbegu-mwanamuziki-Afrika}}

{{DEFAULTSORT:Fid Q}}