Flevoland : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
TjBot (majadiliano | michango) d r2.7.2) (Roboti: Imeongeza frr:Prowins Flevolun |
Minor fix using AWB |
||
Mstari 1:
[[Picha:Flevoland position.svg|thumb|right|Mahali pa Flevoland katika [[Uholanzi]]]]
'''Flevoland''' ni moja kati ya mikoa ya nchini [[Uholanzi]]. Mkoa upo katikati ya nchi, katika eneo la zamani la [[Zuiderzee]]. Mkoa ulianzishwa mnamo tar. [[1 Januari]]
Jimbo lote la Flevoland ni nchi mpya; hadi 1936 eneo lake lilikuwa eneo la [[hori]] kubwa ya Bahari ya Kaskazini yenye umbo la [[kidaka]] iliyoitwa Zuidersee. Baada ya [[mafuriko]] ya mwaka wa 1916, ikaamuliwa ya kwamba Zuiderzee iliyoungana na [[Bahari ya Kaskazini]] kwa mdomo mwembamba itatengwa na bahari kuu kwa [[lambo]]. Mwaka wa 1932, lambo la "Afsluitdijk" ikakamilika, ambayo ilifunga bahari kabisa. Zuiderzee baadaye ikaitwa IJsselmeer (ziwa mwishoni kabisa mwa mto IJssel).
Eneo la hori ya awali liligawiwa kwa malambo ya ndani na maeneo kati ya malambo ya ndani yasiyo na kima kikubwa yalikaushwa kwa njia ya pampu nyingi zilizovuta maji kutoka ndani ya malambo. Kwa njia hii sehemu za bahari ya awali zilikuwa nchi kavu. Mifereji mingi ilisaidia kuondoa maji zaidi kwenye adhi. Baada ya kupanda manyasi na na mazao maalumu kwa miaka mfululizi kiasi cha chumvi katika ardhi ilipungua hadi kufa kwa kilimo cha kawaida.
Tangu 1930 nyumba za kwanza kwa wakulima zilijengwa juu ya nchi mpya. Mji wa kwanza tangu 1966 ulikuwa Lelystad iliyoendelea kuwa makao makuu ya jimbo jipya.
Mstari 11:
* {{nl}} [http://www.flevoland.nl/ Tovuti rasmi]
{{
{{Mikoa ya Uholanzi}}
{{
[[Jamii:Mikoa ya Uholanzi]]
|