Frederick Gowland Hopkins : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: tr:Frederick Gowland Hopkins
Minor fix using AWB
Mstari 2:
[[Picha:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
 
'''Frederick Gowland Hopkins''' ([[20 Juni]], [[1861]] – [[16 Mei]], [[1947]]) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya [[Uingereza]]. Hasa alichunguza mlo wa wanyama na kugundua [[vitamini]]. Mwaka wa [[1925]] alipewa cheo cha "Sir". Mwaka wa [[1929]], pamoja na [[Christiaan Eijkman]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel ya Tiba]]'''.
 
{{mbeguMbegu-mwanasayansi}}
 
{{DEFAULTSORT:Hopkins, Frederick}}