Gaziantep : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d r2.7.3) (Boti: Inarbadilisha hu:Gaziantep hadi hu:Gaziantep (település) |
Minor fix using AWB |
||
Mstari 1:
'''Gaziantep''' ([[Kiosmani Kituruki]]; ''Ayintap''), jina la zamani na hadi leo linatumika kufupisha kama; '''Antep''') ni jina la kutaja mji mkuu wa [[Jimbo la Gaziantep]] nchini [[Uturuki]]. Mji huu unatazamika kama moja kati ya miji ya kale duniani ambayo hadi leo bado inakaliwa.
Mji huu unavituo viwili vya utawala wa wilaya zake, [[Şahinbey]] na [[Şehitkamil]], na una kaliwa na wakazi wapatao 1,237,874<ref name="Turkey pop 2007">[http://www.tuik.gov.tr/jsp/duyuru/upload/adnks_Harita_TR/HaritaTR.html Türkiye istatistik kurumu] Address-based population survey 2007. Retrieved on 2008-03-21.</ref> (2007) na una kilomita za mraba zipatazo 2,138.<ref name="Statoids Turkey districts">[http://www.statoids.com/ytr.html Statoids, Districts of Turkey] Retrieved on 2008-03-21.</ref>
Huu ni mji wa sita kwa ukubwa nchini Uturuki na ndiyo mji mkubwa katika Anatolia ya Kusini-Mashariki - Uturuki.
== Jina la mji ==
Mji ulikuwa ukijulikana na [[Ugiriki ya Kale|Wagiriki wa Kale]] na [[Dola la Roma|Waroma]] kama '''Doliche''' au ''Dolichenus'' (Kituruki: Dülük). Waarabu, [[:en:Seljuk Turks|Waseljuk]], [[Dola la Osmani|Waosma]] walilijua kama '''ʿAintab''' au '''Aïntab''', ambalo linatokana na Kiarabu ''Ayn'' (chemchem) na ''tab'' (nzuri).
Tangu tar. [[8 Februari]]
== Historia ==
==Marejeo ==
{{
== Viungo vya Nje ==
Mstari 26:
{{Miji ya Uturuki}}
{{
[[Jamii:Miji ya Uturuki]]
|