Go-Sakuramachi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.2+) (Roboti: Imebadilisha: fa:امپراتریس گو-ساکوراماشی
Minor fix using AWB
Mstari 1:
'''Go-Sakuramachi''' ([[23 Septemba]], [[1740]] – [[24 Desemba]], [[1813]]) alikuwa mfalme mkuu wa 117 (''[[Tenno]]'') wa [[Japani]]. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa ''Satoko''. Tarehe [[15 Septemba]], [[1762]] alimfuata kaka yake, [[Momozono]], na kuwa mfalme hadi kujiuzulu mwaka wa [[1771]]. Aliyemfuata ni mpwa wake, [[Go-Momozono]].
 
{{mbeguMbegu-Kaizari-Japani}}
 
{{DEFAULTSORT:Go-Sakuramachi}}