Harold Kroto : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.3) (Roboti: Imeongeza tr:Harry Kroto
Minor fix using AWB
Mstari 2:
[[Picha:Hkroto.jpg|thumb|Harold Kroto]]
 
'''Sir Harold (Harry) Walter Kroto''' (amezaliwa [[7 Oktoba]], [[1939]]) ni mwanakemia kutoka nchi ya [[Uingereza]]. Jina lake la kuzaliwa ni '''Harold Krotoschiner'''; wazazi wake walikimbia utawala wa Wa[[Nazi]] huko [[Ujerumani]] kwa vile asili yao ni [[Wayahudi]] wa [[Poland]]. Mwaka wa 1955 walifupisha jina lao la familia liwe '''Kroto'''.
 
Kroto hasa alichunguza sifa na mfumo wa [[kaboni]]. Mwaka wa [[1996]], pamoja na [[Robert Curl]] na [[Richard Smalley]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel ya Kemia]]'''. Mwaka uleule alipewa cheo cha "Sir" cha Uingereza.
 
{{mbeguMbegu-Nobel}}
 
{{DEFAULTSORT:Kroto, Harold}}