Harold Shipman : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Roboti: Imeongeza sco:Harold Shipman
Minor fix using AWB
Mstari 1:
'''Harold Shipman''' ([[14 Januari]], [[1946]] – [[13 Januari]], [[2004]]) alikuwa daktari na mwuuaji mfululizo wa [[Uingereza|Kiingereza]]. Anafikiriwa kuwa ameua takriban watu 250 ambao wote ni wagonjwa wake.
;Matukio yake
Alipelekwa mahakamani na akakutanika kuwa na makosa ya kuua watu wapatao 15, na baada ya uchunguzi kufanyika akakutanika tena kusababusha vifo vya watu wapatao 235. Alikuwa akipendelea sana kuua watu kwa kutumia nusu kaputi. Wagonjwa aliowaua wengi walikuwa vibibi vizee.
;Kifo chake
Wakati alivyokuwa jela, alijiua. Wengi walifurahia baada ya kusikia hayo na hata kuthubutu kusema kwamba, huo ndiyo mfano wa kuigwa kwa wauaji wa mfululizo wengine. Tukio hilo halikuwafurahisha ndugu wa watu waliouliwa ndugu za wao na kufikiria kwamba serikali inawadanganya juu ya tukio hilo.
 
Shipman alijinyonga na shuka wakati wa usiku wa kuamkia siku yake ya kuzaliwa, yaani ilikuwa saa sita na dakika ishirini ya kuamkia tarehe 14 Januari ya mwaka wa 2004. Alikutanika na mhudumu wa gerezani na kuanza kutoka taarifa kwamba, Shipman amejinyonga katika nondo za dirisha kwa kutumia shuka la kulalia.
 
==Viungo vya nje==
* [http://www.the-shipman-inquiry.org.uk/ Shipman Inquiry]
Line 18 ⟶ 19:
[[Category:Waliofariki 2004]]
 
{{mbeguMbegu-mtu}}
 
[[ar:هارولد شيبمان]]