Helen Keller : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.3) (Roboti: Imeongeza new:हेलेन केलर
Minor fix using AWB
Mstari 5:
|maelezo_ya_picha = Helen Keller
|jina la kuzaliwa = Helen Keller
|alizaliwa = [[27 Juni]], [[1880]]
|alikufa = [[1 Juni]], [[1968]]
|nchi = [[Marekani]]
|kazi yake = Mwandishi<br />Mwanaharakati
Mstari 12:
|wazazi =
|watoto =
|tovuti rasmi =
}}
'''Helen Keller''' ([[27 Juni]], [[1880]] – [[1 Juni]], [[1968]]) alikuwa mwandishi na mwanaharakati wa haki za binadamu kutoka nchini [[Marekani]]. Wakati alivyofikisha umri wa miezi kumi na tisa akawa anaumwa na kukapelekea kuwa na matatizo ya kutosikia na kutoona. Aliendelea kuwa mtu wa kwanza [[kiziwi]] na [[kipofu]] aliyefaulu kuchukua digrii ya chuoni.
 
== Maisha yake ==
=== Historia ===
Pale Helen alivyokuwa na umri wa miaka saba, famili yake ikaamua kumtafutia mwalimu ambaye atakuwa akimfundisha. Wakamwomba Bw. Michael Anegnos, ambaye alikuwa mkurugenzi wa ''Taasisi ya Kutunza Viziwi na Vipofu''. Wakamwomba awatafutie mwalimu atakayekuwa anamfundisha binti yao.
 
Akawakubalia na kuwaeleza kwamba anamfahamu mwanadada mmoja ambaye anajulikana kwa jina la [[Anne Sullivan]], yeye atafaa kuwa mwalimu wa binti yenu. Baada ya hapo Anne akasafiri kuelekea mjini Alabama kwenda kuishi na familia ya akina Helen kwa lengo la kumfunza. Anne alianza rasmi kuishi na familia ya Keller kunako mwezi Machi ya [[mwaka]] wa [[1887]].
 
Anne alimsaidia Helen namna ya kuwasiliana na watu wengine. Alimfundisha majina ya vitu kwa kuandika katika kiganja cha Helen. Mnamo mwaka [[1890]], familia ya Helen walimpeleka mtoto wao katika ''Taasisi ya Viziwi na Watu Wasioona'' ili aweze kujifunza namna ya kuzungumza na kuweza kupata mawasiliano.
 
Alivyofikisha umri wa miaka kumi na tisa, Helen alielekea katika chuo kimoja kiitwacho ''Radcliffe'' cha mjini [[Massachusetts]]. Na akahitimu masomo yake katika Radcliffe kunako mwaka wa [[1904]]. Alikuwa mtu wa kwanza katika watu vipofu na viziwi kupata digrii moja ya sanii.
 
Mnamo mwaka wa [[1903]], Helen alitunga kitabu kinachohusu maisha yake. Kitabu kilikwenda kwa jina la "The Story of My Life" (Hadithi ya Maisha Yangu). Kisha akaandika vitabu vingine kumi na viwili. Baadhi ya vitabu vyake vikaja kuigizwa katika filamu, kama vile kitabu cha "The Miracle Worker", filamu ilichezwa mnamo mwaka [[1962]].
 
Wakati wa uhai wake Helen, alijaribu kusaidia watu masikini na baadhi ya watu walio viziwi na vipofu. Helen alitembelea takriban nchi 39 akiwa pamoja na Anne kwa lengo la kuelezea habari za maisha yake na uzoefu pia. Helen pia alitunga kitabu kinachohusu maisha ya Anne Sullivan, kitabu kilikwenda kwa jina la "Teacher". Helen Keller alifariki dunia mnamo tarehe moja ya mwezi wa sita katika mwaka wa [[1968]], mjini Connecticut, [[Marekani]].
 
== Viungo vya nje ==
* [[:en:American Foundation for the Blind|American Foundation for the Blind]]'s [http://www.afb.org/helenkeller.asp Helen Keller collection]
* [http://www.afb.org/braillebug/hkmuseum.asp Helen Keller Kids Museum Online]
* [http://www.helenkeller.org/ The Helen Keller Services for the blind]
* [http://ww3.startribune.com/blogs/oldnews/archives/203 1925 interview] in the Minneapolis Daily Star
* [http://www.nytimes.com/learning/general/onthisday/bday/0627.html#top obituary] in the ''[[New York Times]]''
 
== Keller katika IMDB ==
* {{imdbIMDb title|id=0010061|title=Deliverance (1919)}}
* {{imdb_titleIMDb title|0675644|"Playhouse 90" The Miracle Worker (1957)}}
* {{imdbIMDb title|id=0056241|title=The Miracle Worker (1962)}}
* {{imdbIMDb title|id=0079562|title=The Miracle Worker (1979) TV}}
* {{imdbIMDb title|id=0087401|title=Helen Keller: The Miracle Continues (1984) (TV)}}
* {{imdbIMDb title|id=0246786|title=The Miracle Worker (2000) TV}}
* {{imdbIMDb title|id=0956149|title=Helen Keller}} - Animated biography of Helen Keller on DVD
 
=== Habari kuhusu siasa za Keller ===
* [[:en:Marxists Internet Archive|Marxists Internet Archive]]: [http://www.marxists.org/reference/archive/keller-helen/index.htm Helen Keller Reference Archive].
* [http://www.marxists.org/reference/archive/keller-helen/works/1910s/12_11_03.htm "How I Became A Socialist"], by Helen Keller, 1912-11-03
* [http://www.leeds.ac.uk/disability-studies/archiveuk/Crow/Rethinking-icon.pdf "Rethinking the Problematic Icon"] Contrasts the iconic image of Keller as disabled saint with her real life in social and political activism.
 
{{Commons category}}
{{commonscat}}
 
{{DEFAULTSORT:Keller, Helen}}