Helmut Kohl : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.3) (Roboti: Imebadilisha: mr:हेल्मुट कोल
Minor fix using AWB
Mstari 1:
[[Picha:Bundesarchiv B 145 Bild-F074398-0021, Bonn, Pressekonferenz Bundestagswahlkampf, Kohl.jpg|thumb|right|350px|Helmut Kohl kunako mwaka wa 1987.]]
'''Helmut Josef Michael Kohl''' (amezaliwa tar. [[3 Aprili]], [[1930]] mjini [[Ludwigshafen am Rhein]]) ni [[Siasa|mwanasiasa]] kutoka nchini [[Ujerumani]]. Anatokea katika chama cha [[CDU]]
 
kuanzia mwaka 1969 hadi 1976, alikuwa Waziri-Rais wa jimbo la Rhineland-Palatinate na kuanzia mwaka 1982 hadi 1998, alipata kuwa [[Machansela wa Ujerumani|Chansela wa Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani]]. Kohl alisaidia mpango mzima wa kurudisha muungano wa Ujerumani na kushiriki vilivyo katika swala zima la muungano wa nchi za [[Ulaya]].
 
Pia anafahamika kwa kujishuhisha na masuala ya kuchangia cha (CDU), kupiga vita dhidi ya ukiukwaji wa sheria katika vyama.
== Viungo vya nje ==
 
== Viungo vya nje ==
{{mbeguMbegu-mwanasiasa}}
{{Kanzler}}
{{Commons}}