Jet Li : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.2) (Roboti: Imeongeza hy:Ջեթ Լի
Minor fix using AWB
Mstari 2:
| rangi = Khaki
| jina = Jet Li
| picha = Jet Li 2006.jpg
| maelezo_ya_picha = Jet Li mwaka [[2006]]
| jina la kuzaliwa = Lǐ Liánjié
| alizaliwa = [[26 Aprili]], [[1963]]
[[Beijing]]
[[China]]
| kafariki =
| jina lingine = Jet Li
| kazi yake = Mwigizaji
Mstari 12:
| ndoa = Huang Qiuyan (1987-1990)
Nina Li Chi (1997-)
| rafiki =
| watoto =
| wazazi =
| mahusiano =
| tovuti = http://www.jetli.com

'''Li Lianjie''' (amezaliwa tar. [[26 Aprili]], [[1963]]) ni mshindi wa [[:en:Hong Kong Film Awards|Tuzo za Filamu za Hong Kongo]], akiwa kama mwigizaji bora filamu wa [[China|Kichina]]. Anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama '''Jet Li'''. Jet Li ni mtaalam wa Kung Fu na Wushu. Baada ya miaka mitatu ya mafunzo ya Wushu, Jet Li alipata ushindi wake wa kwanza katika mashindano ya kitaifa ya vikosi vya Wushu kwa mji wa [[Beijing]].

Akiwa na umri wa miaka 17, Jet Li aliachana na masuala ya Uwushu na badala yake akaja kuwa mwigizaji wa filamu na akabahatika kutoa filamu yake kwanza mnamo mwaka wa 1982 na filamu ilikwenda kwa jina la Shaolin Temple.

Badala ya hapo akawa anaendelea zaidi na maswala ya filamu na hata kuweza kujulikana katika medani hiyo ya uigizaji wa filamu katika China. Akaja kujipatia umaarufu zaidi pale alipocheza katika mfululizo wa filamu za Once Upon a Time in China, ambamo humo alikuwa akicheza kama shujaa wa kiasili - Wong Fei Hung.

Kwa upande wa Marekani, Jet Li alianza kucheza kama adui katika filamu ya Lethal Weapon 4 kunako mwaka wa 1998, na kwa upande wa filamu alizocheza Marekani kwa mara ya kwanza na kuwa kama nyota kiongozi ilikuwa katika Romeo Must Die ya mwaka wa 2000.

Badala ya hapo akawa anashiriki katika mafilamu mengimengi ya ya Hollywood, na hivi karibuni ametoa filamu yake mpya akiwa pamoja na [[Jackie Chan]], na filamu inaitwa [[The Forbidden Kingdom]] (2008).

== Filamu alizocheza ==
{| class="wikitable"
Line 34 ⟶ 35:
| [[1982 in film|1982]] || ''[[Shaolin Temple (1982 film)|Shaolin Temple]]''
(少林寺 ''Shao Lin Si'') || Jueh Yuan (覺遠)

| [[1983 in film|1983]] || ''[[Shaolin Temple 2: Kids from Shaolin]]''
(少林小子 ''Shao Lin Xiao Zi'') || San Lung

|rowspan="2"| [[1986 in film|1986]] || ''[[Born to Defence]]'' || Jet

| ''[[Shaolin Temple 3: Martial Arts of Shaolin]]''
(南北少林 ''Nan Bei Shao Lin'') || Zhi Ming

| [[1988 in film|1988]] || ''[[Dragon Fight]]''
(龍在天涯 ''Long Zai Tian Ya'') || Jimmy Lee

| [[1989 in film|1989]] || ''[[The Master (1989 film)|The Master]]'' || Jet

|rowspan="2"| [[1991 in film|1991]] || ''[[Once Upon a Time in China]]''
(黃飛鴻 ''[[Wong Fei Hung]]'') || [[Wong Fei Hung]]

| ''[[Swordsman II]]''
(笑傲江湖之東方不敗 ''Xiao Ao Jiang Hu Zhi Dong Fan Bu Bai'') || Ling Hu Cong

| [[1992 in film|1992]] || ''[[Once Upon a Time in China II]]''
(黃飛鴻之二男兒當自强 ''Wong Fei Hung 2: Nan er dang zi qiang'') || [[Wong Fei Hung]]

|rowspan="6"| [[1993 in film|1993]] || ''[[Tai Chi Master]]''
(太極張三豐 ''Tai Ji Zhang San Feng'') || Junbao || aka ''[[Twin Warriors]] (USA)''
Line 60 ⟶ 61:
| ''[[Last Hero in China]]''
(黃飛鴻之鐵雞斗蜈蚣 ''Wong Fei-Hung zhi tie ji dou wu gong'') || [[Wong Fei Hung]] || aka ''Claws of Steel''
aka ''Deadly China Hero''

| ''[[Once Upon a Time in China III]]'' || [[Wong Fei Hung]]||

|rowspan="3"|[[1994 in film|1994]] || ''[[The Bodyguard From Beijing]]'' || Allan Hui Ching-yeung/John Chang || aka ''The Defender''
aka Zhong Nan Hai bao biao

| ''[[Fist of Legend]]''
(精武英雄 ''Jing Wu Ying Xiong'') || [[Chen Zhen (martial artist)|Chen Zhen]]

| ''[[Legend of the Red Dragon (film)|Legend of the Red Dragon]]''
(洪熙官之少林五祖 ''Hong Xi Guan Zhih Shaolin Wu Zu'') || [[Hung Hei-Gun|Hung Hei-Kwun]] || aka ''The New Legend of Shaolin''
Line 84 ⟶ 85:
| [[2000 in film|2000]] || ''[[Romeo Must Die]]'' || Han Sing

|rowspan="2"| [[2001 in film|2001]] || ''[[The One (film)|The One]]'' || Gabe Law/Gabriel Yulaw/Lawless

| ''[[Kiss of the Dragon]]'' || Liu Jian

| [[2002 in film|2002]] || ''[[Hero (2002 film)|Hero]]''
(英雄 ''Ying Xiong'')|| Nameless || aka ''Hero'' released [[2004]] in US

| [[2003 in film|2003]] || ''[[Cradle 2 the Grave]]'' || Su

| [[2004 in film|2004]] || ''[[Jet Li: Rise to Honor]]'' (Playstation 2 video game)||Kit Yun (voice, motion-capture actor)|| released [[2004]] in US

| [[2005 in film|2005]] || ''[[Unleashed (film)|Unleashed]]'' || Danny || aka ''Danny The Dog''
Line 98 ⟶ 99:
| [[2006 in film|2006]] || ''[[Fearless (2006 film)|Fearless]]''
(霍元甲 ''Huo Yuan Jia'') || [[Huo Yuanjia]] || aka ''Legend of a Fighter''

|rowspan="2"| [[2007 in film|2007]] || ''[[The Warlords]]''
(投名狀 ''Tou Ming Zhuang'') || Pang Qing Yun

| ''[[War (film)|War]]'' || Rogue ||aka "Rogue Assassin" or "Rogue"

|rowspan="2"| [[2008 in film|2008]] || ''[[The Forbidden Kingdom]]''
(功夫之王 ''Gong Fu Zhi Wang'') || [[Sun Wukong]] the Monkey King/Silent Monk

| ''[[The Mummy: Tomb of the Dragon Emperor]]'' || Emperor [[Qin Shi Huang]]
Line 108 ⟶ 109:
| [[2010 in film|2010]] || ''[[The Forbidden Kingdom 2]]'' || Sun Wukong ||

== Viungo vya nje ==
{{Commons}}
* {{imdbIMDb name|id=0001472|name=Jet Li}}
* [http://www.jetli.com/index.php?l=en/ The Official Jet Li Website]
* [http://www.one-foundation.com/ Jet Li's Foundation: The One Foundation Project]