Karl Manne Georg Siegbahn : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Roboti: Imeongeza an:Manne Siegbahn
Minor fix using AWB
Mstari 2:
[[Picha:Manne Siegbahn.jpg|thumb|Karl Manne Siegbahn]]
 
'''Karl Manne Georg Siegbahn''' ([[3 Desemba]], [[1886]] – [[26 Septemba]], [[1978]]) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya [[Uswidi]]. Alichunguza vipengele vingi vya fizikia, baadhi yao [[usumaku]], mionzi ya [[eksirei]] na nadharia ya [[atomu]]. Mwaka wa 1924 alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel]] ya Fizikia'''. Mwana wake ni mwanafizikia [[Kai Siegbahn]].
 
{{DEFAULTSORT:Siegbahn, Karl Manne}}
Mstari 10:
[[Jamii:Tuzo ya Nobel ya Fizikia]]
 
{{mbeguMbegu-mwanasayansi}}
 
[[an:Manne Siegbahn]]