Keely Shaye Smith : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: id:Keely Shaye Smith
Minor fix using AWB
Mstari 1:
[[Image:Keely Shaye Smith 3.PNG|thumb|right|160px|Keely Shaye akiwa na mumewe [[Pierce Brosnan]] na watoto wao.]]
 
'''Keely Shaye Smith''' (amezaliwa tar. [[25 Septemba]], [[1963]]) ni mwandishi wa habari kutoka [[Marekani]].
Ameolewa na muigizaji filamu [[Pierce Brosnan]] mnamo tar. [[4 Agosti]] mwaka [[2001]], baada ya mkewe Brosnan wa kwanza [[Cassandra Harris]] kufariki dunia. Kwa pamoja wana watoto wawili wa kiume, na pia Brosnan ana watoto wengine wawili aliozaa na marehemu Cassandra Harris.
 
Smith anatoa huduma kama mwandishi aliyepokea kipindi cha Televisheni kilichokuwa kinatangazwa na mtangazaji "Robert Stack" ambaye alifariki dunia tarehe [[14 Mei]], [[2003]]. Kipindi kilikuwa kinaitwa "Unsolved Mysteries", kilichokuwa kinarushwa hewani na Televisheni ya "Lifetime" hadi [[1997]].
 
{{Mbegu-mwandishi}}